Zitto: Kwanini Serikali inaogopa Wachunguzi wa Kimataifa? Ushauri wa Lema swadakta

Polisi waliliacha lindo wazi wakati wa tukio halafu hao hao Polisi waliruhusu CCTV kung'olewa eneo la jinai likiwa chini ya usimamizi wao, sasa uchunguzi si ni kujitega??
 
Kipindi kile Kamanda Sirro, alisema suala la Lissu lilishafungwa, na hataki tena huo mjadala kuendelea popote pale.

Sasa sijui Masillingi katumwa na nani kusema kuwa Polisi bado wanachunguza?
Alikuwa anaropoka?
Nilichocheka Lissu alikuwa anasema kwa mujibu wa sheria za nchi,.....,kabla hata hajaisema hiyo sheria Masilingi akadadia kujibu kuwa unaitumia hiyo sheria vibaya!Lissu akampa,huyu mwanasheria wa wapi?
 
Hahaha wao wanasema hakuna mlalamikaji. Na lisu na dereva hawajaandikisha maelezo popote, hivyo hawawezi kuchunguza.
 
Alikuwa wapi kuyasema tangu avyodai aliambiwa.. porojo
Jitahidini kuweka akiba za maneno.

Kwa nini mlishindwa kumwambia Masillingi kuwa kamanda Sirro alifunga jalada la upelelezi kabla hajaenda kwenye mjadala?
 
1 waiting ...to see how this movie gonna end. Sorry who is the director? Mel Gibson or Steven Spielberg?

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Bongo movie, director Bashite, steling lazima auwawe.
 
Jitahidini kuweka akiba za maneno.

Kwa nini mlishindwa kumwambia Mashilingi kuwa kamanda Sirro alifunga jalada la upelelezi kabla hajaenda kwenye mjadala?

Nipe ya Sirro kufanya hayo.. na sio ya huyo.
 
"Nilifuatilia pia suala la Tundu kwa kina kwa kutumia mahusiano yangu na Vijana wapelelezi wazuri ndani ya jeshi la Polisi na kugundua kuwa Polisi walikatazwa hata kufungua file la Uchunguzi"!

Zitto: Kwanini Serikali inaogopa Wachunguzi wa Kimataifa? Ushauri wa Lema swadakta - JamiiForums

This has always been an open secret. Haiingia akilini Jeshi la Polisi kuacha kufungua jalada na kuchunguza tukio kubwa kiasi hiki. Lakini mwisho wa siku hao wakuu wa jeshi hili watakuwa wapi hao wanasiasa watakapokuwa wametoka madarakani? Imani yangu mimi baada ya hao wanasiasa kuondoka madarakani Tanzania itazaliwa upya kama ambavyo tunashuhudia Ethiopia. Watu wengi watakuwa na mashataka ya kujibu kwani kufanya hivyo ndio utakuwa mtaji wa kisiasa wa uongozi mpya wa nchi hii!
 
Tumesha mzoea huyo na kujidai na mahusiano mazuri. Alitumia pia mahusiano yake mazuri na CAG mshenga wake akatudanganya kuwa CAG hawezi kuitwa na kuhojiwa na kamati ya bunge. Wote tulishudia hatima ya upotoshaji wa Zitto.
 
Back
Top Bottom