Zitto: Kwanini Mama Rwakatare haagwi Bungeni kwa mujibu wa Kanuni za Bunge? Kwanini azikwe na Serikali kama hajafa kwa COVID19?

Mh. Zitto tafadhali naomba tuheshimu maamuzi yoyote yaliofanywa na serikali au familia inapokuja swala la misiba.

Haina haja ya kuhoji, tuheshimu familia ya marehemu, tumuombee marehemu na wanafamilia wapate nguvu wakati huu mgumu wanaopitia.

Hoja yako haitabadilisha kitu, hata kama kafariki kwa Corona na ikatangazwa itakusaidia nini?

Pumzika Mama Rwakatare na poleni wafiwa.
 
Huyu hata ukimjibu hawezi kukuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutakuwa busy na Ibada ya kuliombea Taifa, Hivyo Mama Rwakatale atapewa heshima yake ya mwisho kwa usiri ili kuepusha kuenea kwa Corona.
 
Siku zote marehemu anapaswa aheshimiwe. Hatupaswi kuanza kujadili vitu inaumiza sana kama ndugu zake wanasoma hapa.

Halafu ndugu zangu tusibeze kifo, kila nafsi lazima itaonja mauti. Anayetangulia asibezwe wala kunyooshewa kidole hiyo ni njia yetu sote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…