Zitto: Kuzuia mikutano kunaminya demokrasia

Zitto: Kuzuia mikutano kunaminya demokrasia

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,058
Reaction score
134,392
Kiongozi mkuu wa chama cha ACT wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini Mh.Zitto Kabwe amesema hatua ya serikali kuzuia kufanya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa imeminya Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.
Source:ITV

Swali:
Popo ni ndege au mnyama?!Wakili mwanaJF Peter Mselewa anahoji Kwanini Zitto Kabwe hakusema hivyo mbele ya Rais Magufuli kule Kigoma alipopewa nafasi kuwasalimu wananchi? Zitto aache usanii na utapeli wake wa kisiasa.
 
Kiongozi mkuu wa chama cha ACT wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini Mh.Zitto Kabwe amesema hatua ya serikali kuzuia kufanya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa imeminya Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.
Source:ITV

Swali:
Popo ni ndege au mnyama?!
Wewe si juzi tu bwana mkubwa alikupa nafasi ukaongea hadharani na wapiga kura wako wakulalamika hao 'vilaza'wasioruhusiwa hata kufanya mikutano ya ndani
 
Kwanini hakusema hivyo mbele ya Rais Magufuli kule Kigoma alipopewa nafasi kuwasalimu wananchi? Zitto aache usanii na utapeli wake wa kisiasa.
Wengine wangetaka appointment kukutana na Rais kumwambia, kitu ambacho ni kigumu kukipata lkn pale alikuwa face face angemwambia au angemwita pembeni basi na kumnong'oneza.
 
Mawazo uliyonayo hayatofautiani na ya Livingstone Lusinde ambaye akipewa nafasi bungeni achangie bajeti anawatukana wapinzani.

Wananchi wanatatizo la maji na barabara, unapewa nafasi aseme kuhusu hayo mambo wewe unataka azungumzie mikutano ya siasa.
Anyway,
Umeandika kulingana na vile uhuru unavyokuruhusu.
Kwanini hakusema hivyo mbele ya Rais Magufuli kule Kigoma alipopewa nafasi kuwasalimu wananchi? Zitto aache usanii na utapeli wake wa kisiasa.
 
ACT ni tatizo kubwa hapa Nchini, unafiki na usariti kwa wananch ni kama Kansa ya kiuno, Koo au utumbo!
 
dah kweli nimeamini sasa, Zitto una problem... Najua umo humu jukwaani. UNA PROBLEEEM!!!

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom