Zitto: Kuzuia mikutano kunaminya demokrasia

Zitto: Kuzuia mikutano kunaminya demokrasia

Dah......
Undumi la kuwili kwenye siasa za bongo hujawahi kumuacha mtu salama..
Blaza zitto we mjanja kweli hutaki kuharibu hata sehemu moja....
 
Na huo uwazir wa nishati na madini anaoutolea mate si bora wampe tuh tujue moja?

Sarakasi zake na hizi harakati zake za pimbi anataka kucheza na kupiga filimbi ziishe jaman
 
Mawazo yako yaliwai kusemwa hata na msukuma na kibajaji.
Na huo uwazir wa nishati na madini anaoutolea mate si bora wampe tuh tujue moja?

Sarakasi zake na hizi harakati zake za pimbi anataka kucheza na kupiga filimbi ziishe jaman
 
Kwenye siasa, kuna kuchomekea mada. Hata kama isingekuwa pale jukwaani, angemnong'oneza walipokutana nje ya jukwaa. Ras gani usiyeelewa hata mambo madogo kama hayo?
Angalia jinsi unavyotawanyika kwa hoja nyepesi ....una uhakika upi kwamba hilo swala hawakuzungumza nyuma ya pazia???
 
Kwangu Zitto si mpinzani ingawa watu wengi wakiwemo wa jimboni kwake wanaamini Zitto ni mpinzani. Zitto ana tabia za Lipumba. Anaweza kukuacha mlango wazi. Anakuaminisha kwamba mpo pamoja lakini ndani ya sekunde anakusaliti peipe kabisa. Nakumbuka tukiwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Zitto alikuwa waziri mkuu wa serikali ya Daruso. Mbowe alikuwa akimhudumia kama mwanawe wa kuzaa. Alimpa hadi gari ya kwenda nayo Kigoma kutengeneza mazingira ya kugombea ubunge. Lakini mwisho kaja kumgeuka kama vile hajawahi kumfahamu. Ila Mbowe ni mtu wa huruma sana!
 
Kiongozi mkuu wa chama cha ACT wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini Mh.Zitto Kabwe amesema hatua ya serikali kuzuia kufanya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa imeminya Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.
Source:ITV

Swali:
Popo ni ndege au mnyama?!Wakili mwanaJF Peter Mselewa anahoji Kwanini Zitto Kabwe hakusema hivyo mbele ya Rais Magufuli kule Kigoma alipopewa nafasi kuwasalimu wananchi? Zitto aache usanii na utapeli wake wa kisiasa.
Zito ni kama K tu, haeleweki yuko nyuma au mbele, cdm wako makini sana, kubaini upumbavu wa huyu jamaa mapema walifanya kazi nzuri sana.
Huyu angeachwa afike nafasi ya uenyeketi mwisho angefanya kama anavyofanya lipumbafu kwa cuf, jinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi walikuwa wote huko kigoma mbona hakumwambia hayo.Tuache unafiki
 
Zito ni kama K tu, haeleweki yuko nyuma au mbele, cdm wako makini sana, kubaini upumbavu wa huyu jamaa mapema walifanya kazi nzuri sana.
Huyu angeachwa afike nafasi ya uenyeketi mwisho angefanya kama anavyofanya lipumbafu kwa cuf, jinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaaa haaaaa you quoted one of my comments,safi bosi
 
Back
Top Bottom