Zitto: Kuzuia mikutano kunaminya demokrasia

kwanini watu wanalalamika kwenye mitandaoo wakati vyombo vya kudai haki vipoo,,si wafungue kesi mahakamani,,,hata lissu kwa nini asitumie njia ya sheria na mahakama kama rais anavunja katiba??????sijaelewa kwaninin
 
Hutu Zito ni mnafiki mkubwa, ACT ni tawi la ccm. So muda mrefu mtasikia boss wake amemteua kuwa kwenye nafasi fulani.Huyu hafai kabisa , wananchi wa Kigoma amkeni tambueni hili ni pandikizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnasahau kwamba huyu jamaa ni mnafiki mmoja mkubwa sana. Sijui hata akili yake huyu iko sawa. Unapataje nafasi ya kuwa na Magufuli halafu hutii neno kuhusu kero mbali mbali kwa wapinzani na wananchi kutokana na udikteta uchwara wake halafu ukaseme pembeni!? Haingii akilini.

Kiongozi mkuu wa chama cha ACT wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini Mh.Zitto Kabwe amesema hatua ya serikali kuzuia kufanya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa imeminya Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.
Source:ITV

Swali:
Popo ni ndege au mnyama?!Wakili mwanaJF Peter Mselewa anahoji Kwanini Zitto Kabwe hakusema hivyo mbele ya Rais Magufuli kule Kigoma alipopewa nafasi kuwasalimu wananchi? Zitto aache usanii na utapeli wake wa kisiasa.
 
Wanasema wa naomba nafasi ya Pro Muhongo ijazwe haraka huyu mwanasiasa akili ikae sawa. Kasahau hata kunyoa ndevu siku hizi!
 
Mawazo uliyonayo hayatofautiani na ya Livingstone Lusinde ambaye akipewa nafasi bungeni achangie bajeti anawatukana wapinzani.

Wananchi wanatatizo la maji na barabara, unapewa nafasi aseme kuhusu hayo mambo wewe unataka azungumzie mikutano ya siasa.
Anyway,
Umeandika kulingana na vile uhuru unavyokuruhusu.
Lakini Kitila Mkumbo alipopiga siasa juzi kule Tabora kwenye tukio kama la Kigoma, mlimuunga mkono!
 
ACT wazalendo hakijatoa kauli ya kumuunga mkono.

Lakini mimi ninamuunga mkono kwa aliyoyasema.
Kwa wenye kupenda ushabiki wanafikiri yale maneno yanamuhusu Lissu pekee
Lakini wenye akili za kufikiri zaidi, yale maneno yanamgusa mpaka magufuli.

Ondoa ushabiki na mihemko, itafute ile clip isikilize kwa makini utagundua kuwa ACTni kweli ina watu makini.

Ni chama pekee kinachotoa wataalam wake kwa mkopo kwa wakoloni weusi ccm.
Lakini Kitila Mkumbo alipopiga siasa juzi kule Tabora kwenye tukio kama la Kigoma, mlimuunga mkono!
 
Kiongozi mkuu wa chama cha ACT wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini Mh.Zitto Kabwe amesema hatua ya serikali kuzuia kufanya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa imeminya Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.
Source:ITV

Swali:
Popo ni ndege au mnyama?!Wakili mwanaJF Peter Mselewa anahoji Kwanini Zitto Kabwe hakusema hivyo mbele ya Rais Magufuli kule Kigoma alipopewa nafasi kuwasalimu wananchi? Zitto aache usanii na utapeli wake wa kisiasa.
Chali mshamba sana, anadhani wabongo wote ni km kule kwako kigoma ambapo wanabadilishana majimbo, zito na serukamba, ni dalili ya kiwango cha juu kabisa cha umaskini na ujinga wa wapiga kura wa kigoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ACT wazalendo hakijatoa kauli ya kumuunga mkono.

Lakini mimi ninamuunga mkono kwa aliyoyasema.
Kwa wenye kupenda ushabiki wanafikiri yale maneno yanamuhusu Lissu pekee
Lakini wenye akili za kufikiri zaidi, yale maneno yanamgusa mpaka magufuli.

Ondoa ushabiki na mihemko, itafute ile clip isikilize kwa makini utagundua kuwa ACTni kweli ina watu makini.

Ni chama pekee kinachotoa wataalam wake kwa mkopo kwa wakoloni weusi ccm.
Hata hueleweki!
 
Back
Top Bottom