Zitto kuichambua bajeti ya 2016/17 kesho Millenium Towers

Zitto kuichambua bajeti ya 2016/17 kesho Millenium Towers

habar wakuu,mbunge wa kigoma mjini mh.Zitto Kabwe kesho kuanzia saa 7 mchana
atakwepo millenium towers atakuwa anachambua bajeti ya serekali ya mwaka 2016~2017

source:zitto fb page

Ktk tukio gani, mkutano wa hadhara, live interview ya radio/tv, kongamano au katika tukio gani hasa?
 
Mimi nataka habari ya zitto na uchambuzi wa bajeti hizo shutuma zitafutie uzi sheikh!
Lazima utake hivyo (KILE KINACHOKUFURAHISHA MOYO WAKO TU) Kwa kuwa huenda wewe unafaidikia na upotoshaji wake huo....Hivi alikuwa na haraka gani bajeti kutangazwa tu na baada ya dakika 40 anapost uzushi huo kuwa miamala ya fedha hasa M pesa tigo airtel money kwa @1000/= mwananchi anakatwa 280/=? Huoni hilo kosa lilivyofanya watu kutaharuki kwa sababu ya UPOTOSHAJI WAKE HUO???? Anyway wewe najua ulifurahia maana KIUJAZACHO MOYO NDICHO KIMTOKACHO...Si ajabu kesho akasema Nondo na misumari itapanda bei mara nne..halafu wewe mfaidika ukapiga makofi kwa uzushi....Furahia sheikh (ingawa sijui kama umefunga maana ungetamani kutenda haki na ukweli) hiyo ndiyo raha upendayo
 
Kuna kitu ambacho Zitto hana budi kubadilika..ajitahidi kufuta record chafu/mbaya zinazo muandama..mfano:-
(1) Record ya Usaliti-CDM hajawahi kuwa wazi kufunguka ili kila mtu ajue ukweli
(2) Record ya kusema mafuta ya ndege yangeisha Tanzania ndani ya siku tano-ikawa tofauti hajatoka tena japo kuomba radhi tu kuwa alikurupuka
(3 ) Kuwaaminisha watu kwny miamala ya simu(Bajeti hii anayotaka kuichambua) kuwa Ktk @ Tsh.1000/= mwananchi atakuwa akikatwa Tsh.280/= KITU AMBACHO NI UONGO WA MCHANA...Na ameleta taharuki kubwa sana miongoni mwa jamii-HADI SASA HAJAOMBA RADHI KWA KUKURUPUKA HUKO....
Ukweli ni kuwa Zitto ni Public Figure anaheshimika lkn anaendelea kujishushia hadhi kwa watu waelewa kwa kumuona kuwa anatafuta publicity kwa nguvu isivyostahili...aangalie sana anapoteza mvuto maana kwa SASA HAAMINIKI
I stand to be corrected. .

Huyu jamaa nimefuatilia sana nyendo zake na kugundua siyo mtu mwenye uchungu sana na nchi hii na maokeo ni maslahi binafsi na kutafuta kiki. He is not genuine politician - time has told us that and will keep telling.
 
Siamini mpaka nione, Maana kwa serikali hii usishangae Hoteli ile ikapigwa stop kumruhusu!
 
Huyu jamaa nimefuatilia sana nyendo zake na kugundua siyo mtu mwenye uchungu sana na nchi hii na maokeo ni maslahi binafsi na kutafuta kiki. He is not genuine politician - time has told us that and will keep telling.
Ni mtu fulani ansyejificha ktk neno uzalendo huku mgongo wake ukiwa wazi...watu wa namna hiyo ni kuwapa muda tu
Intelligence ya CHADEMA kumuhusu ilikuwa kali sana yani ndo maana so far hajawahi kuthubutu kukanusha yale mawasiliano na miamala ya pesa
 
Uelevu na uhodari wa Zitto umekuwa ukipungua siku hadi siku ktk awamu hii ya tano. Hali hii ikiendelea ni dhahili kuwa 2020 ataungana na wenzake akina Kafulila na Mkosamali!!!
 
Tunausubiri uchambuzi wake, bila shaka utakuwa na tofauti na mambo mengi ya msingi.
 
Uelevu na uhodari wa Zitto umekuwa ukipungua siku hadi siku ktk awamu hii ya tano. Hali hii ikiendelea ni dhahili kuwa 2020 ataungana na wenzake akina Kafulila na Mkosamali!!!
Kwa sababu anataka kuzungumzia bajeti ndo Uelevu amekosa mbona usemi wakina olesendeka walivyokosa majibo acha ushabiki mandanzi wa vyama yeye anawasilisha mawazo yake IQ yako iko chini sana
 
Naona zito anafanya siasa za upinzani, nini kimemsibu Mh? Uswahiba na Ikulu vipi?
 
ajiandae hoteli kuzungukwa na maaskari. maana kwa sasa demokrasia ni msamiati kwa serikali hii..
 
ajiandae hoteli kuzungukwa na maaskari. maana kwa sasa demokrasia ni msamiati kwa serikali hii..
Haha...kuna uwezekano ataungana na baadhi ya wanaccm kuichambua manake sio wote waliipenda.Hasa kile kipengele cha wabunge kuanza kukatwa kodi kwenye pesa zao za kiinua mgongo,naona wengi walikipinga ila ndio hivyo wanagugumia chini kwa chini[emoji87] [emoji87]
 
Bajeti inaandaliwa na akina jesca huku kitwanga zimepanda kichwani unategemea nini?
 
Sio amechelewa. Jana itv kipima joto walimaliza kila kitu...hasa huyo jamaa anaitwa Kayoza. Nilipenda uchambuzi wake...yuko vizuri kichwani na kibusara...si kuona anakwaruzana na huyo aliyejiita Dr....cccm Tanga..mfia chama.[/QUOTE
Hahahahahahahha Dr.alinikwaza sana wakati mwingine ni busara kuficha title kwenye kadamnasi kama unajijua mana kujijua nako pia ni mtihani tosha .Nilishindwa kumwelewa ni dr wa kitu gani mana siwez mlaumu du.
 
Back
Top Bottom