Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,487
- 2,756
habari wakuu,mbunge wa kigoma mjini mh.Zitto Kabwe kesho kuanzia saa 7 mchana
atakwepo millenium towers atakuwa anachambua bajeti ya serekali ya mwaka 2016~2017
source:Zitto facebook page
habar wakuu,mbunge wa kigoma mjini mh.Zitto Kabwe kesho kuanzia saa 7 mchana
atakwepo millenium towers atakuwa anachambua bajeti ya serekali ya mwaka 2016~2017
source:zitto fb page
Kuna kitu ambacho Zitto hana budi kubadilika..ajitahidi kufuta record chafu/mbaya zinazo muandama..mfano:-habar wakuu,mbunge wa kigoma mjini mh.Zitto Kabwe kesho kuanzia saa 7 mchana
atakwepo millenium towers atakuwa anachambua bajeti ya serekali ya mwaka 2016~2017
source:zitto fb page
Atahangaika sana. Atafanya hivyo halafu Jumatatu vyombo vya habari vichwa vikuu ni DR TULIA KUENDELEA KUWAFUNGIA VIOO UKAWA? au CHADEMA KUOMBA PO KWA DR TULIA au WABUNGE KUENDELEA KULILIA MAKATO KIINUA MGONGOhabar wakuu,mbunge wa kigoma mjini mh.Zitto Kabwe kesho kuanzia saa 7 mchana
atakwepo millenium towers atakuwa anachambua bajeti ya serekali ya mwaka 2016~2017
source:zitto fb page
Mimi nataka habari ya zitto na uchambuzi wa bajeti hizo shutuma zitafutie uzi sheikh!Kuna kitu ambacho Zitto hana budi kubadilika..ajitahidi kufuta record chafu/mbaya zinazo muandama..mfano:-
(1) Record ya Usaliti-CDM hajawahi kuwa wazi kufunguka ili kila mtu ajue ukweli
(2) Record ya kusema mafuta ya ndege yangeisha Tanzania ndani ya siku tano-ikawa tofauti hajatoka tena japo kuomba radhi tu kuwa alikurupuka
(3 ) Kuwaaminisha watu kwny miamala ya simu(Bajeti hii anayotaka kuichambua) kuwa Ktk @ Tsh.1000/= mwananchi atakuwa akikatwa Tsh.280/= KITU AMBACHO NI UONGO WA MCHANA...Na ameleta taharuki kubwa sana miongoni mwa jamii-HADI SASA HAJAOMBA RADHI KWA KUKURUPUKA HUKO....
Ukweli ni kuwa Zitto ni Public Figure anaheshimika lkn anaendelea kujishushia hadhi kwa watu waelewa kwa kumuona kuwa anatafuta publicity kwa nguvu isivyostahili...aangalie sana anapoteza mvuto maana kwa SASA HAAMINIKI
I stand to be corrected. .