Kuna kitu ambacho Zitto hana budi kubadilika..ajitahidi kufuta record chafu/mbaya zinazo muandama..mfano:-
(1) Record ya Usaliti-CDM hajawahi kuwa wazi kufunguka ili kila mtu ajue ukweli
(2) Record ya kusema mafuta ya ndege yangeisha Tanzania ndani ya siku tano-ikawa tofauti hajatoka tena japo kuomba radhi tu kuwa alikurupuka
(3 ) Kuwaaminisha watu kwny miamala ya simu(Bajeti hii anayotaka kuichambua) kuwa Ktk @ Tsh.1000/= mwananchi atakuwa akikatwa Tsh.280/= KITU AMBACHO NI UONGO WA MCHANA...Na ameleta taharuki kubwa sana miongoni mwa jamii-HADI SASA HAJAOMBA RADHI KWA KUKURUPUKA HUKO....
Ukweli ni kuwa Zitto ni Public Figure anaheshimika lkn anaendelea kujishushia hadhi kwa watu waelewa kwa kumuona kuwa anatafuta publicity kwa nguvu isivyostahili...aangalie sana anapoteza mvuto maana kwa SASA HAAMINIKI
I stand to be corrected. .