Zitto kugombea urais 2015?

Status
Not open for further replies.
Badilisha kwanza rangi ya maandishi yako....

Halafu "kujwaa" ndio nini?

Uki-edit maneno waliyopost wenzio ili uonekane wewe ndo mjuaji , na wenzio wanakosea inakusaidia nini, does it make your day??

Kuchamba kwingi........!
 
Uki-edit maneno waliyopost wenzio ili uonekane wewe ndo mjuaji , na wenzio wanakosea inakusaidia nini, does it make your day??

Kuchamba kwingi........!

Sijahariri kitu ndugu...hebu rudi usome tena ulichoandika mwenyewe (hiyo kama wewe hujahariri ulichoandika mwanzoni)

NB: Naona wewe ndio umehariri kosa lako na sasa unataka kunigeuzia kibao ionekane kama mimi ndio nimegeuza ulichoandika.

Hahahaaa...you know deep down in your heart of hearts what you just did.
 
hiyo clip mpaka muichakachue?

au kuna ukweli unataka kufichwa?
 
Uki-edit maneno waliyopost wenzio ili uonekane wewe ndo mjuaji , na wenzio wanakosea inakusaidia nini, does it make your day??

Kuchamba kwingi........!
Huyu jamaa anafikiri duniani kuna field moja tu ya lugha, aliposoma lugha ndio akajiona he is better of wengine huu ni ushamba.
 


Am sorry zitto, Ngoja niwe mkweli
Jana niliangalia hiyo taarifa ya TBC, wewe ndo ulianza ukisema " mwaka 2015 nataka nije kugomea urais nitaomba kura zenu" hapa wewe ndo ulianzisha, kama vile wananchi hawajasikia ukawauliza tena "mwaka 2015 nataka nigombee (mike ikaelekezwa kwa wananchi).... wananchi wakajibu Uraisssssss........."

Pili, katika hotuba ya jana sikusikia unanadi sera za chama
sera ulizokuwa nazo ni za kibinafsi,,,, ulisema utajenga barabara mbili.....cjui hii kama hipo kichama.....

Zitto naanza kuwa na wasiwasi nawewe......maana nguvu zako sasa hivi zimerudi nyuma

swali:

Kwanini uliomba michango ya kibinafsi na sio cham?
 
...NN, Hivi kweli wewe sio Abdi Sultan wa Sunday Citizen???:whistle::behindsofa:
LOL! kumbe Nyani Ngabu ni mwandishi wa Sunday Citizen, ndiyo maana anajifanya kukosoa kosoa wengine.
 
Uuum...to him right now you are probably more like a pest than a nag (whatever the difference is)

naona tunazunguka mbuyu tu ati .............alisema hakusema nyiiiiiiiiiingi wakati ushahidi wa dhahiri zitto anao hataki kuuweka.

lakini acha nimhurumie rais mtarajiwa 2015 kwa kutoulizia tena kuhusu hiyo clip :smile-big:
 
naona tunazunguka mbuyu tu ati .............alisema hakusema nyiiiiiiiiiingi wakati ushahidi wa dhahiri zitto anao hataki kuuweka.

lakini acha nimhurumie rais mtarajiwa 2015 kwa kutoulizia tena kuhusu hiyo clip :smile-big:

Uzuri ni kwamba tayari yuko on tape na sina shaka kuwa kuna watu watatuwekea tu hapa hiyo clip...apende asipende
 
In term of bona fides?

Wow Kibs, I am impressed!!!

But you forgot to put the 's' in front of 'term'. It should've been 'terms'...but hugely impressed, nonetheless.

Back to your question, yes, I don't like him all around (qualification-wise, his attitude, his personality, you name it)
 
wamepita wengi kabla yake walisema maneno hayohayo! uraisi sio ubunge zito! fikiria mara mbili.. 2015 nigependa kuona tunakuwa na raisi kama muheshimiwa Dr.ABDALLAH KIGODA!:becky:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…