Nadhani hujui unaeongea nae. Na wala sina haja ya kukupa faida kubwa, kwa ufupi:
Anaekuleza hayo ni: Semi retired professional who worked with International corporations for over 25 Years in decision making positions. Currently a shareholder and member of the boards in several good companies ranging from Services, Farming, Trading to Tourist lodges and Hotels.
That's majimshindo, for your information.
=========Si Zitto wala Slaa wala Mbowe wanaofaa.
1) Zitto: jazba, hasira, hamaki, hafichi "emotions zake". Anafaa kuwa mkurungenzi wa idara katika serikali.
2) Slaa: hawezi kabisa uongozi. Alishindwa wa kanisa unaohudumia jamii yenye imani kama yake, na maadili ndio hivyo tena kama tujuavyo. Hafai hata kuwa diwani. Anafaa kuwa mfugaji na ajilimbikizie wake wa kumsaidia.
Mbowe: Huyu anafaa kuwa waziri wa starehe kutokana na ujuzi wake wa kuchezesha Disko kwa muda mrefu. Uongozi wowote wenye utendaji hauwezi kwani hata kampuni yake ilioanzishwa kwa mali za kurithi "kaifilisi" haina hata hela za kulipa deni alilokopa NSSF. Sasa huyu akipewa nchi si kasheshe.
=========
Ikiwa Mcheza disko ameongoza nchi, mcheZEsha disko si ndo anafaa zaidi?
Mbowe huwezi kumfananisha na Jk kwasababu Jk ni Raisi Mbowe sio,Jk Mkorea Mbowe Mchaga na mengine mengi ambayo hawafanani,nakuunga mkono Jk na Mbowe hawafananisi kawaida yangu kutukana naomba nisianze leo, kwa nini baadhi ya watanzania wanadharau hivi wakati hali zao ni duni mara elfu kuliko za hao wanaokashifu? ni wachezesha disco kama mbowe wanaoweza kubadili maisha ya watanzania na washenzi kama nyie muendelee kupiga domo huku mkishindwa hata kitambaa cha kupenga kamasi. Inaudhi sana dharau za wasionacho, unaweza kumlinganisha mbowe na JK? au kwa kuwa anavaa joho la kijani? watanzania wamechoshwa na fikira mgando za kula bila kuzalisha nini disco we are better off kuongozwa na mama ntilie walau anajua kupanga mahitaji ya chakula sipendi kabisa dharau za poppers. mtabaki hivyo hivyo oo slaa kashindwa kuongoza kanisa wakati kura zake mmemuibia ingekua mnagamba mngeacha tuone leo hii baba zetu wangeshakuwa mahospitali wakipata matibabu ya kisayansi badala yake mko nao mnagombea foleni loliondo mavi hapo hapo, halafu mnalaumu maiti zimetapakaa, how about muhimbili tunalala nazo wodini masaa na masaa.
Hata JK ana CV ndefu ya kuongoza chama na kushika nafasi muhimu serikalini lakini bado ni kilaza tu... Na nimekua nikufutatilia thread zako nyingi nimegundua wewe mwenyewe ni mchovu wa fikra hata ungekuwa na experience ya muda gani ktk proffessional zako bado hakiuondolei ukilaza ulionao. Nchi hii hata tukimpa Mnyika ambae hana CV kama ya kwako au JK bado ataiongoza vizuri...
=========
Ikiwa Mcheza disko ameongoza nchi, mcheZEsha disko si ndo anafaa zaidi?
zitto alikosea angekuwa nccr leo angekuwa na nguvu zaidi....
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mimi maono yangu ni kwamba katika CDM ni ZITTO peke yake ambaye anaweza kutusogeza toka point A to B nchini Tanzania. Wengine wote wanafaa kuwa wasaidizi wake. Sisemi kwamba hawafai, lakini katika Presidential level, Zitto is the right choice. Slaa ni mtendaji, let him be PM na Mbowe labda VP. Huu ni ukweli ambao hata Stevie Wonder anaweza kuuona.
Napita.
Mbowe huwezi kumfananisha na Jk kwasababu Jk ni Raisi Mbowe sio,Jk Mkorea Mbowe Mchaga na mengine mengi ambayo hawafanani,nakuunga mkono Jk na Mbowe hawafanani
Sisi tunajuana kwa hoja hatujuani hapa kwa sura, historia au majigambo! Hata kwa haya umeprove kuwa unahusudu wizi uzandiki na ufisadi tu si zaidi hapo. semi retired manake nini? unajua anaekundikia ana share kwenye makampuni yepi? kama kweli hukuwahi kufeli basi uwe ukijitahidi kujibu hoja kwa hoja siyo kwa hitory kama akina Mrema hazitusaidiiNadhani hujui unaeongea nae. Na wala sina haja ya kukupa faida kubwa, kwa ufupi:
Anaekuleza hayo ni: Semi retired professional who worked with International corporations for over 25 Years in decision making positions. Currently a shareholder and member of the boards in several good companies ranging from Services, Farming, Trading to Tourist lodges and Hotels.
That's majimshindo, for your information.
Mwanangu yuko darasa la nne anajua kuwa 26.34% ni kubwa kuliko theruthi ya 61.17% achilia mbali robo yake! mwalimu wako wa hesabu ulimpa shida sana. tutajitahidi kadri ya uwezo wetu kuwaelimisha watu kama nyieMchezesha Disko mwenyeewe alijaribu kinyang'anyiro cha uongozi wa juu kabisa akabwagwa vibaya sana pamoja na kutumia "helikopta" akaona hakubaliki akakaa kando kumwachia Dokta wa Kanono asiyefata kanoni aliyoisomea. Mwenyewe unajuwa kuwa haifati, au hujuwi? Bora Dokta Silaa kajitahidi kidogo kupata kura zaidi ya mchezesha disko, lakini, aaaahhh bahati mbaya, hazikufika hata robo ya kura za JMK.
samahan kama ntakukera...mimi cdhan kama huo wacfu unaojitangazia ulkustahl... Huna tofaut na wale wanaojtapa usalama wa taifa.
Hvo kuwa na yote na kufanya yote unayojtapa nayo haimaanish unajua lolote. Ucjtangaze hvo kudhan utaogopeka au kuheshmika. Nyadhfa zako n faida kwako,mkeo na wanao.
Majimshindo na Salimia nyie lazima mtakuwa CCM na vibaraka wa mafisadi kama siyo mafisadi kabisa maana ongeleeni gogoro linalofukuta kati ya UVCCM na wazee wenu wastaafu. Mkimtaka Zitto mchukueni maana ni kibaraka wenu wala hatuwezi kumpitisha agombee uraisi 2015. Dr. Slaa na kanisa vinawahusu nini? Yule mume wake Josephine kapotelea wapi? Kwa kupandikiza propoganda tu. Hatudanganyiki!!!!!!!!!
Mwanangu yuko darasa la nne anajua kuwa 26.34% ni kubwa kuliko theruthi ya 61.17% achilia mbali robo yake! mwalimu wako wa hesabu ulimpa shida sana. tutajitahidi kadri ya uwezo wetu kuwaelimisha watu kama nyie
Sisi tunajuana kwa hoja hatujuani hapa kwa sura, historia au majigambo! Hata kwa haya umeprove kuwa unahusudu wizi uzandiki na ufisadi tu si zaidi hapo. semi retired manake nini? unajua anaekundikia ana share kwenye makampuni yepi? kama kweli hukuwahi kufeli basi uwe ukijitahidi kujibu hoja kwa hoja siyo kwa hitory kama akina Mrema hazitusaidii
Nadhani hujui unaeongea nae. Na wala sina haja ya kukupa faida kubwa, kwa ufupi:
Anaekuleza hayo ni: Semi retired professional who worked with International corporations for over 25 Years in decision making positions. Currently a shareholder and member of the boards in several good companies ranging from Services, Farming, Trading to Tourist lodges and Hotels.
That's majimshindo, for your information.