Zitto katika mtihani mzito; Kuingizwa kamati ya uchunguzi wa Mabilioni Uswisi?

Zito anapenda sana sifa na kwa hili hana msaada kwani kwenye tume ya madini alisaidia nini muacheni akapate posho hana chochote mzee wa kulalamika kama kweli ana uchungu angetaja majina tume ya nini wakati majina anayo?
mkuu kichuli, zitto nae ana roho kama wewe. mimi namsifu mpaka hata huko kujitolea kuliweka wazi otherwise tusingesikia kitu hapo mkuu na hata wewe na u.bw.ege wako usingekuwa na cha kuchangia hapa. mshukuru sana zito na si kumtukana. au wewe ndo wale wenzetu?
 
Zitto ni jembe tukubali tusikubali. Kijana hana muda wa kupiga domo ni kazi tu.
 
Ndugu Zitto tunakuombea kwa mwenyezi Mungu akuangazie uweze kulitumikia Taifa lako kwa uaminifu na uadilifu. Kila la kheri.
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kumfunga mdomo Zitto. Namshauri asikubali kuingia kwenye tume.... Matoke ya tume zetu tunayajua. Wana lengo la kujisafisha tu..
 
Zito aliaminika sana na alivuma kwa sifa nzuri baada ya kuanika ya Buzwagi na kutolewa nje ya Bunge. Baada ya Zito kuwekwa kamati ya madini alivutiwa kitu kidogo na wahusika na hata ripoti ya Barik inaonyesha ilivyorahisi kumkabili Zito.

Sasa kwa kuwekwa kwenye kamti hii tutegemee jipya?

Kwanza ninaungana na wale wanaoamini kuwa Zito anatumiwa, pili ninahisi kuwa ni pre emptive strike kwa wale ambao wange leta hoja hii, ili ionekane imefanyiwa kazi na kupoteza malengo ya wapenda nchi.

Zito ni political opportunist, je ni agenda ipi aliyopeleka bungeni ikahitimishwa bila yeye kuvuta kitu kidogo? Msitegemee jipya kwa Zito, hii ni fursa nyingine ya Zito kukimbilia uraisi.

Zito grow up. Usituaibishe kwa tamaa binafsi dhidi ya kitaifa.
 
mkumbuke zito ni binadamu anaweza akahujumiwa tuu, au akawa ni miongoni mwao inderectly!
hiyo tume iliyoundwa na serikali, majibu yake yakionyesha maraisi (including KIKWETE) wanahusika! watapata wapi ujasiri wa kuiweka wazi????
 
Zito aliaminika sana na alivuma kwa sifa nzuri baada ya kuanika ya Buzwagi na kutolewa nje ya Bunge. Baada ya Zito kuwekwa kamati ya madini alivutiwa kitu kidogo na wahusika na hata ripoti ya Barik inaonyesha ilivyorahisi kumkabili Zito.

Sasa kwa kuwekwa kwenye kamti hii tutegemee jipya?

Kwanza ninaungana na wale wanaoamini kuwa Zito anatumiwa, pili ninahisi kuwa ni pre emptive strike kwa wale ambao wange leta hoja hii, ili ionekane imefanyiwa kazi na kupoteza malengo ya wapenda nchi.

Zito ni political opportunist, je ni agenda ipi aliyopeleka bungeni ikahitimishwa bila yeye kuvuta kitu kidogo? Msitegemee jipya kwa Zito, hii ni fursa nyingine ya Zito kukimbilia uraisi.

Zito grow up. Usituaibishe kwa tamaa binafsi dhidi ya kitaifa.

Wakati mwingine nashindwa kuwaelewa Kabisa Watanzania. Hivi kweli Mimi Nikiwa mjumbe mmoja tu kwenye Kamati ya Bomani nihongwe na kuandika taarifa nitakavyo halafu taarifa itoke, wajumbe wote waunge Mkono NA Bunge lijadili NA kupitisha taarifa hiyo NA Sheria mpya itungwe! Yote hayo yafanywe NA Zitto, basi nguvu zangu za kimungu!

Tumeingia bungeni tumekuta mikataba mibovu ya madini. Tumeanzisha hoja ya Buzwagi, Tumeingia Kamati ya Bomani, tumepata Sheria mpya ya madini bora kuliko iliyokuwa awali NA unachopata Ni kuambiwa ulihongwa.

Naomba niseme, kwanza sitakuwa mjumbe wa kikosi cha Werema. Mimi mbunge, kikosi kazi Ni cha tawi la utendaji. Siwezi kuingia Huko. Mimi nitawapa ushirikiano kama Mtanzania mwingine yeyote. Ni tofauti kama ingekuwa Kamati ya Bunge au Tume ya Rais. Kikosi kazi Ni utaratibu wa kiserikali NA hatuwezi kuhusika kama Bunge. Bunge linasuburi taarifa ya Serikali. Itakuwa makosa makubwa mbunge kuwa sehemu ya kikosi kazi

Tuweke akiba ya Maneno
 
Hoja ya Mwanakijiji inaleta maana kubwa sana,inabidi Zito ujipange zaidi kuunganisha dots za pesa hizo na kutokuwa halali,zilitoka wapi na kwa sababu gani na makampuni yaliweka lini na kuunganisha na mikataba kama itawezekana kuwa ni fungu lao baada deal kuiva!!!La sivyo yale yale ya Chenge,EPA,Meremeta na mengine mengi tu yaliyofukiwa ki Tanzania Tanzania...
 
Zitto should take a leaf from the book of science.

Do not publish your work before all the experiments and investigations on your part are completed.

Angefuatilia mantra hiyo asingeonekana ana half step sasa hivi.
 
Back
Top Bottom