Yupo Marekani MkuuJamani Zito Kabwe mbona siku hizi kapoa sana sio kama mwanzo au ndio kamwachia mnyika au kulikoni
Anapiga kilaji na wala siyo gahawaHuyu hapa anapiga kinywaji
Alienda sauzi juzi!
[south kikaz] hapa vp rais dr slaa makamu zitto hapo hatuchukui nchi! vp wanachadema hii imekaa sawa!!