Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,229
kesho ni siku ya vijana Duniani,UVVCM wameandaa kongamano la vijana litakolofanyika pale katika ukumbi wa ubungo plaza kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa 8 mchana,kutakuwa na wasomi ambao wataelezea sera ya maisha bora kwa kila Mtanzania...nyote mnakaribishwa
Nimeandika leo kwenye Tanzania Daima kwanini binafsi naamini Zitto hastahili kuwemo kwenye Kamati hiyo ingawa kwa sababu tofauti na hizo za Wangwe. Ni makala ndefu kidogo na nimeonesha kuwa Watanzania wawe na matumaini zaidi na Kamati Teule ya Bunge kuliko hiyo ya Rais!!!

Zitto alithubutu kusema ndani ya Bunge kitu gani kitamfanya akae kimya na kuburutwa ndani ya kamati hiyo ya madini?
Kuteuliwa kwenye kamati hiyo hakuna maana kwamba kachumbiwa na SISIEMU, najua fika kwamba hiyo ni janja ya President kumkaribisaha jikoni ili ajenge tamaa ya kudokoa.
Huyu ni kijana msomi wa kizazi kipya mpeni hiyo Golden Chance amwage vitu.
Sidhani kijana huyu agenda yake ni kutajirika kifisadi.
Kama President kamweka kwenye kamati ili ammalize asubiri atakavyo wachemsha vilaza wasiofanya H/W ndani ya hiyo kamati.
Mbona wenyewe watamwomba Rais atengue uteuzi wake Zitto!!!
Ili usonge ugali kwenye meko ya mafiga matatu shurti usogee karibu na moto na moshi ni halali yako.
akikaa nyutro unadhani itamsaidia kumjenga kisiasa ama kumbomoa ??
nasubiri jibu lako kwa hamu !
Hatakiwa kuwa neutral, anataka awe nje ya Kamati na halafu atoe maoni yake kwenye Kamati. Vinginevyo wamuingize Mudhihir Mudhihir na Karamagi kwenye hiyo Kamati!
HIZI NI FACTS AMA NI HISIA ZAKO TU ????
MAANA HATA MIE NINA HISIA ZANGU VILE VILE NAWEZA NIKAZIMWAGA HAPA KUTOKANA NA ULICHOSEMA !
Kada soma makala yangu kwenye Tanzania Daima leo labda utaelewa nimesema nini kuhusu Zitto kuwa nje ya Kamati. Its not the question of neutrality but the question of impartiality.. He is not impartial...