Zitto, Kafulila washambuliana

Waungwana hawajigambi kwa vitu walivyotengeneza.Vitu vyenyewe hujishuhudia hata watu walikuwepo.Ingekuwa hivyo akina sir. Isack Newton etal wangewacharaza hata watu viboko kuonyesha vitu walivyogundua.Hakuna aliyejenga daraja hapo wala barabara ni wakandarasi.
 
Acha upuuzi kulinganisha mambo ya Mungu na huyo fisadi wenu...tambua Paul baada ya kukutana na Mungu ALITUBU NA KUPELEKWA JANGWANI MIAKA MITATU NA NUSU..KULE ALIKUWA ANATOLEWA UJINGA WOTE NDO AKARUDI KUONANA NA MITUME
SWALI: NI LINI LOWASA ALITUBU AKAKIRI KUHUSIKA NA RUSHWA UFISADI MKUBWA HAPA NCHINI??? SIKU ZOTE ANAJIHESABIA HAKI KUWA HAKUFANYA WAKATI HATA MITI NA NDEGE WANAJUA NI FISADI TANGU ENZI ZA NYERERE..ISITOSHE NA WW BADALA YA KUMWAMBIA ATUBU UNAMPIGIA CHAPUO KUWA YUKO SAHIHI..Kitu kama hukijui usiongee unajidhalilisha...
Hivi kwa akili yako ndogo tuu nchi ikiwa na uongozi madhubuti inawezekanaje kwa ufisadi kutokea???????????
 
itawauma lakini ukweli ni huo watu wa kigoma hakuna mtu anataka aonekane yupo chini ya mwenzake
nimefurahi kuwa ugomvi ni wenu sisi tunachukua jembe tukalime
 
kigoma ni ACT na ACT ni kigoma du nitajitahidi mkoa wangu tuanzishe chama na vile tulivyo wengi na tukiweza shawishi tunaofanana nao aaaah 2020 nchi yetu
 
Zitto aache kupambana na wadogo zake, kwanza anajionyesha kama mtu wa kujisifu, Kafulila katengenezwa na Mungu na siyo Zitto, yeye kama alimsaidia kwanin alete mashambuliz!? Kwani ni lazima kuhamia ACT?
 
Ben Saanane

hiyo n kweli kabisa na unachoongea. sio siri siasa za kgm zmebadilika aise ni vijembe tu wenyewe kwa wenyewe. sku ile ya mkutano wa lowasa kgm Kafulila akiwa anahutubia aliweza kudharau chama kwa kusema kuna haka kachama kameanzishwa hakana hiki wala lile ni bora wana kgma waanzishe chama cha waha. kulingana na hoja hiyo basi aliweza kuzomewa na wananchi wa kgm mjini. kulingana na hayo mkutano wa zitto uwanja wa kawawa walijibu mapigo akina machali na mchange but zitto yy alisema kgm ya mawese itatuchagua iv iv. in short na mambo meng ya zitto na kafulila ila wote nawaombea kwa Mungu wapite uchaguzi wa oct 25.
 
Last edited by a moderator:
zzk anawivu wa kisiasa anatabia ya majivuno anapenda sifa huyu kijana anatabia mbaya
 
zitto tunajua kazi anayofanya na act tunajua kazi waliyotumwa na ccm kuja kuifanya!
 
Kipindi cha mmoja kumlamba matako mwingine kwa lugha ya kwetu,kimepita,hata kama kuna mmoja alimsaidia mwingine hakuna haja ya kujisifia,waswahili walisema tenda wema nenda zako
 
Tuache tabia za kwetu,tunasaidiana ili tuje kuutangazia umma kwamba bila mimi yule asingekuwa vile,wewe ni MUNGU?sote tu zao la MUNGU tumeumbwa ili tutende mema,bado kigoma inahitaji ushirikiano wenu
 
Kigoma inahitaji kuona mnaunganisha nguvu zenu ili iunganishwe na meme wa grid ya taifa nk,kaeni chini na kila mmoja wenu aheshimu uhuru na utashi wa wenzie,kwa njinsi ninavyoipenda kigoma nilipenda kwa maslahi ya kigoma
 
Na wana kigoma niwakutanishe ili muondoe tofauti zenu lakini bahati mbaya kwasasa sina uwezo huo,naomba wazee wa huko muingilie kati,watoto wamehitilafiana hao tumieni busara kigoma inawahitaji bila kujali nani ni zaidi ya nani
 
Yale yale nimeanza kuwaelewa watu wa Kigoma sasa majigambo yanaendana na tamaduni zao, hawa jamaa atawakifanya kazi kwa pamoja yenye matunda lazima wale waliofanya zaidi watataka wajulikane ya kuwa wao ndio walitoa mchango mkubwa, au mimi ni bora zaidi kuliko wewe.

Ata Ali Kiba na Diamond ndio hivi hivi na wengineo ninao wafahamu kwenye maisha kujifanya wao ndio bora na wenye viwango kushinda sisi wengine. Kwani huko kwenye mikoa mingine watu awasaidiani pia au baada ya hapo wanakaa kimya tu.

Bora warudi kwenye kitu wanachokifahamu zaidi ambacho ni siasa kuliko hizi habari za nani mkali jamii inaona nani bora sio wao wenyewe.
 
Waungwana hawajigambi kwa vitu walivyotengeneza.Vitu vyenyewe hujishuhudia hata watu walikuwepo.Ingekuwa hivyo akina sir. Isack Newton etal wangewacharaza hata watu viboko kuonyesha vitu walivyogundua.Hakuna aliyejenga daraja hapo wala barabara ni wakandarasi.
Kama ni kutengenezwa, hata zito alitengenezwa na Mbowe. Lakini mbona amemsaliti? Kwa hiyo zito asishangae, mambo ya usaliti ameyaanzisha mwenyewe
 
Kama ni kutengenezwa, hata zito alitengenezwa na Mbowe. Lakini mbona amemsaliti? Kwa hiyo zito asishangae, mambo ya usaliti ameyaanzisha mwenyewe

nyumbu latika ubora wao . kama mbowe ni mtaalam wa kutengeneza wanasiasa si awatengeneze wengine mbona hatujawaona
 
Back
Top Bottom