Zitto kabwe yupo live sasa hivi chanel ten

Zitto kabwe yupo live sasa hivi chanel ten

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,100
Anasema falsafa yao ni ya mwl. Nyerere. anasema fedha wanapewa na marafiki, na wanachama wenyewe kutokana na kazi zao.
 
Anasema falsafa yao ni ya mwl. Nyerere. anasema fedha wanapewa na marafiki, na wanachama wenyewe kutokana na kazi zao

Achana naye huyo asikupotezee muda
maana mfa maji ....
 
Alipoenda Tunduma Mbeya alizomewa sana. Anakibarua kigumu cha kuwaconvis watanzania hadi wamkubali km zamani
 
Bado siku mbili awataje wezi wa rasilimali zetu......Zitto anatisha
 
Zitto Kabwe yupo live asubuhi hii kipindi cha baragumu asubuhi hii, wadau twendeni tukaulize maswali yetu
 
Namuona Mpiganaji ZZK ndani ya Luninga akizungumzia mada ya kuelekea uchaguzi 2015. Kwa walio na access ya Luninga wanaweza tazama na kuuliza maswali moja kwa moja.

Songa mbele ACT Wazaendo. Hongera viongozi wa chama cha Kitanzania kinachobeba uzalendo halisi.
 
Zitto Kabwe yupo live asubuhi hii kipindi cha baragumu asubuhi hii, wadau twendeni tukaulize maswali yetu

Zitto umuulize swali gani?

Yeye aendelee kuhonga vyombo vya habari tu ili apate airtime wenye akili timamu wote tulishampuuza siku nyingi tu.

Akafie mbali huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom