Zitto kabwe yupo live sasa hivi chanel ten

Zitto kabwe yupo live sasa hivi chanel ten

Watanzania wengine bwana, yani roho mbaya na chuki za kijinga mnajikuta hata kama zitto anafanya Kitu cha faida ukuta tu bado mnapinga. hizi roho zilizojikunja hizi?
 
Zitto anashabihiana na polepole kwa hoja
 
Kitu kipi cha faida anachokifanya zaidi ya usaliti? Usiukimbie ukweli kuhusu supreme traitor kama hujui tabia zake uliza uambiwe.

Watanzania wengine bwana, yani roho mbaya na chuki za kijinga mnajikuta hata kama zitto anafanya Kitu cha faida ukuta tu bado mnapinga. hizi roho zilizojikunja hizi?
 
Kitu kipi cha faida anachokifanya zaidi ya usaliti? Usiukimbie ukweli kuhusu supreme traitor kama hujui tabia zake uliza uambiwe.

Mimi aliniboa kitendo cha kukiambia chama kikaguliwe ivi inawezeksna kweli mkuu chama chako ukihaibishe kwa CAG?
 
Sasa mtu mpumbavu kama Zitto umuulize swali gani?

Yeye aendelee kuhonga vyombo vya habari tu ili apate airtime wenye akili timamu wote tulishampuuza siku nyingi tu.

Akafie mbali huko.

yaani kwa upambavu wenu huu mnaofanya hapa jukwaani nimewadharau sana nyie BAVICHA&BAWACHA.
 
ZITTO KUITWA NA KAMATI
MAALUMU YA UCHUNGUZI WA
MABILIONI YA NJE.
TAREHE
KAMATI
MAELEZO YA ZITTO
28/02/2013
Aliitwa na kamati ya kufuatilia
fedha za Uswiss katika ofisi ya
Mwanasheria mkuu wa serikali
Dodoma.
Alitoa taarifa kuwa anazo
nyaraka zote zenye taarifa za
walioficha fedha Uswis kwa
majina na namba za account zao.
Pia alitoa masharti ya yeye kutoa
ushahidi huo mbele ya kamati.
1. Kwanza asibugudhiwena mtu
kwani taarifa alizonazo ni za siri.
2. Ahakikishiwe usalama wake
kwa kuwa taarifa hizo ni nyeti
sana.
20/03/2013
Kamati ilimwita Dar Es Salaam
Alitoa udhuru kuwa yupo jeshini
hivyo hawezi kufika mbele ya
kamati kwa wakati huo.
22/03/2013
Kamati ilimfuata katika kambi ya
jeshi Tanga kwa mahojiano nae.
Katika majadiliano hakuweza
kutoa majibu na kutaka
wamwache hadi atakapo maliza
mafunzo ya jeshi na kurejea
ndipo atatoa huo ushahidi.
12/04/2013
Kamati ilimwita tena Dodoma
kwa mahojiano.
Alitoa udhuru kwa kusema
anasafari ya kwenda Afrika
Kusini.
14/05/2013
Kamati ilimwita tena Dodoma
kwa mahojiano nae kupta
ushahidi na majina aliyodai
anayo.
Hakufika mbele ya kamati na
akasema,
1. Ana hoja yenye maslahi kwa
taifa.
2. Kamati iliwasiliana naye akadai
anajiandaa na mdahalo wa
kigoda cha mwalimu Dar Es
Salaam.
18/06/2013
Kamati ilimwita tena bila kuchoka
Alitoa udhuru kuwa anafanya
maandalizi ya timu ya Taifa
kwenda AFCON kwa kuwa yeye
yupo katika kamati ya maandalizi
ya timu ya Taifa.
Kamati baada ya usumbufu wote
huo ikaona ni vema kutumia njia
mbadala ya kupata taarifa
alizonazo ili kuiwezesha serikali
kuchukua hatua.
Kamati ilimpa Mh Zitto Zuberi
Kabwe hati ya kuitwa mbele ya
kamati.
Zitto kwa kuapa mbele ya kamati
alisema,
Sina jina lelote wala akaunti ya
mtu yeyote anaemiliki fedha
Uswis.
12/12/2013
Zitto katika mchango wake alidai
kwa nini hoja yake haisikilizwi na
serikali ipo kimya huku yeye nayo
majina
 
Mwanasiasa makini uyo mtakonda bureee
uko wapi umakini wake hapa?
ZITTO KUITWA NA KAMATI
MAALUMU YA UCHUNGUZI WA
MABILIONI YA NJE.
TAREHE
KAMATI
MAELEZO YA ZITTO
28/02/2013
Aliitwa na kamati ya kufuatilia
fedha za Uswiss katika ofisi ya
Mwanasheria mkuu wa serikali
Dodoma.
Alitoa taarifa kuwa anazo
nyaraka zote zenye taarifa za
walioficha fedha Uswis kwa
majina na namba za account zao.
Pia alitoa masharti ya yeye kutoa
ushahidi huo mbele ya kamati.
1. Kwanza asibugudhiwena mtu
kwani taarifa alizonazo ni za siri.
2. Ahakikishiwe usalama wake
kwa kuwa taarifa hizo ni nyeti
sana.
20/03/2013
Kamati ilimwita Dar Es Salaam
Alitoa udhuru kuwa yupo jeshini
hivyo hawezi kufika mbele ya
kamati kwa wakati huo.
22/03/2013
Kamati ilimfuata katika kambi ya
jeshi Tanga kwa mahojiano nae.
Katika majadiliano hakuweza
kutoa majibu na kutaka
wamwache hadi atakapo maliza
mafunzo ya jeshi na kurejea
ndipo atatoa huo ushahidi.
12/04/2013
Kamati ilimwita tena Dodoma
kwa mahojiano.
Alitoa udhuru kwa kusema
anasafari ya kwenda Afrika
Kusini.
14/05/2013
Kamati ilimwita tena Dodoma
kwa mahojiano nae kupta
ushahidi na majina aliyodai
anayo.
Hakufika mbele ya kamati na
akasema,
1. Ana hoja yenye maslahi kwa
taifa.
2. Kamati iliwasiliana naye akadai
anajiandaa na mdahalo wa
kigoda cha mwalimu Dar Es
Salaam.
18/06/2013
Kamati ilimwita tena bila kuchoka
Alitoa udhuru kuwa anafanya
maandalizi ya timu ya Taifa
kwenda AFCON kwa kuwa yeye
yupo katika kamati ya maandalizi
ya timu ya Taifa.
Kamati baada ya usumbufu wote
huo ikaona ni vema kutumia njia
mbadala ya kupata taarifa
alizonazo ili kuiwezesha serikali
kuchukua hatua.
Kamati ilimpa Mh Zitto Zuberi
Kabwe hati ya kuitwa mbele ya
kamati.
Zitto kwa kuapa mbele ya kamati
alisema,
Sina jina lelote wala akaunti ya
mtu yeyote anaemiliki fedha
Uswis.
12/12/2013
Zitto katika mchango wake alidai
kwa nini hoja yake haisikilizwi na
serikali ipo kimya huku yeye nayo
majina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom