Zitto kabwe yupo live sasa hivi chanel ten

Zitto kabwe yupo live sasa hivi chanel ten

Chadema nendeni mkazomee ndio siasa mliyobaki nayo temeke tar 4-7-2015

Nyie nao Wabembe ndio mnaoutia aibu mkoa wetu kwa kuendekeza njaa za tumboni,kila chama mpo kisa wawape Wali na kofia na t-shert huku mkiendekeza naudini wenu.Kujenga chama sio mchezo mtatangatanga sana
 
Angewatonya wenzie kwanza?

umeona haya machadema mafisad cjapata kuona yamekosa mwanya tu wa kufisad lkn yakipewa nchi haya n hatar zaid ya tunavofikiria... embu Anglia kila kiongoz mwenye nguvu ndan ya chama acha haya mavuvuzela, ana ndg viti maalum je wakipewa nchi uteuz utakuaje? je walalahoi watakua na chao kwel
 
Nyie nao Wabembe ndio mnaoutia aibu mkoa wetu kwa kuendekeza njaa za tumboni,kila chama mpo kisa wawape Wali na kofia na t-shert huku mkiendekeza naudini wenu.Kujenga chama sio mchezo mtatangatanga sana
hatuna shida na chagadema.
 
Anasema falsafa yao ni ya mwl. Nyerere. anasema fedha wanapewa na marafiki, na wanachama wenyewe kutokana na kazi zao

Zitto ni mjamaa wa aina yake.Nijuavyo wajamaa huishi maisha ya kawaida sana,ni watu wanaoishi katika kile wanachokiamini.Unaweza kuona mifano ya akina Philip Mangula,Makongoro Nyerere,Joseph Warioba,nk.Ebu angalia maisha ya mjamaa Zitto,huyu haishi katika kile anachojaribu kutuaminisha kwamba anakiamini.Anataka tu kutumia populist ideas kuwahadaa Watanzania kukiamini chama chake,in fact Zitto Kabwe is not a socialist he pretends to be,he is just an opportunist.
 
Giambatista Vico


Endelezeni kuhongwa,kuomba omba na ubaguzi wenu nahiyo laana itawatafuna mtaendelea kuwa nyuma kwa kila kitu.Sisi tunaoelewa siasa bila kupewa chochote tutaendelea kuwa Chadema mpaka mwisho wa Dunia,na kwa taarifa tu mwaka huu Chadema kwenye family yangu ina kura 4 tofauti na zamani ya kura moja yangu
 
Last edited by a moderator:
Bado siku mbili awataje wezi wa rasilimali zetu......Zitto anatisha
Basi kama ZZK anatisha kwa mujibu wa maelezo yako, HATAKUWA NA HAWEZI KUWA CHAGUO LA WATANZANIA. Na ndo maana mara nyingi kwenye mikutano yake amekumbwa na wakati mgumu sana kujibu HOJA MBADALA. Zito is NOTHING IN THE OCEAN.
 
zito na Mary mugulusi waliishia wapi? muulize Dk kahangwa na ndoto zake za urais Wa daruso
 
Zitto atawatumia sana huku yeye akipiga madili yake kiulaini nanyi mkipiga myayo!!

hiyo ndiyo siasa kwan slaa sinianawaanikaga watu juan bila kuwalipa chochote huku yeye akiwa kwenye kivuli jukwaan alaf baada ya mkutano anasain 1m kuna madeal zaid ya haya zaid ya yote mwisho wa mwezi anavuta 13m huu ni ufisad kwan hakuna katibu mkuu wa chama ndan ya EA anamgikia mshahara huyu babu alaf et anawatetea masikin
 
Zitto ni mjamaa wa aina yake.Nijuavyo wajamaa huishi maisha ya kawaida sana,ni watu wanaoishi katika kile wanachokiamini.Unaweza kuona mifano ya akina Philip Mangula,Makongoro Nyerere,Joseph Warioba,nk.Ebu angalia maisha ya mjamaa Zitto,huyu haishi katika kile anachojaribu kutuaminisha kwamba anakiamini.Anataka tu kutumia populist ideas kuwahadaa Watanzania kukiamini chama chake,in fact Zitto Kabwe is not a socialist he pretends to be,he is just an opportunist.

wewe huo ujamaa unauongelea sio unaoexist current basi ingekua ivo basi mzee walioba angerudisha serkaln ule mjengo wa oyster bay. huu n ujamaa was kidemokrasia, ujamaa huru
 
Basi kama ZZK anatisha kwa mujibu wa maelezo yako, HATAKUWA NA HAWEZI KUWA CHAGUO LA WATANZANIA. Na ndo maana mara nyingi kwenye mikutano yake amekumbwa na wakati mgumu sana kujibu HOJA MBADALA. Zito is NOTHING IN THE OCEAN.

on the earth's ground is
 
wewe ndo zuzu la mbowe kwa hiyo fedha ya umma mbowe aitumie anavotaka wapumbavu ninyi au haujui ruzuku kod yangu! CAG lazma akague

Kamanda punguza jazba huu ni utaratibu ambao hupo na tunautumia siki zote haiwezekani amuite mkaguzi bila kukitonya chama kama sio usaliti ni nini?
 
wewe huo ujamaa unauongelea sio unaoexist current basi ingekua ivo basi mzee walioba angerudisha serkaln ule mjengo wa oyster bay. huu n ujamaa was kidemokrasia, ujamaa huru
Wewe ni miongoni mwa waathirika wa siasa za kilaghai za wanasiasa wa aina ya Zitto,jibu lako tu linakubainisha hivyo.Wajamaa wote ulimwenguni wanaamini katika miiko ya uongozi.Kwa mjamaa,ni dhambi kubwa kuchanganya mambo ya uongozi na biashara na ndio maana wajamaa wote wa kweli hawamtaki Lowassa agombee urais.Nani asiyejua kwamba Zitto naye ana mambo yake ya kibiashara anayoyafanya?Je ni kweli anaamini katika kile wajamaa tuwajuao wanakiamini?
 
MBOWE na SLAA ni mafisadi sawasawa na JK na LOWASA
 
Yaani huu uzi kwenye hizi page zote kinachoongelea topic aliyoleta muhusika haidili robo page...., tuweni wastaarabu kwa kuachia wale wanaotaka kupata habari wazipate hata kama anayezitoa hatumkubali
 
Kamanda punguza jazba huu ni utaratibu ambao hupo na tunautumia siki zote haiwezekani amuite mkaguzi bila kukitonya chama kama sio usaliti ni nini?

Zitto km naibu katibu mkuu alikua hahusiki na utunzaji wa taarfa za mapato na matumizi ya chama, na wakat anatoa taarfa hizo za ukaguz alisimama km mwenyekit wa PAC na sio NKM wa CDM, alitimiza wajibu km ambavo Jonh Cheyo angefanya. Naomba kukuuliza je mwenyekit angekua cheyo mngemlaumu kwa kutowatonya? na hii dhana ya kutonywa inatoka WAP; ili taarfa zichakachuliwe? km ZZK angewatonya CDM ili iwe fair play angepaswa kufanya hivyo kwa vyama vyote. HAPO NDIPO UZALENDO WA ZZK UNAJIDHIHIRISHA WAZ KWA TAIFA LAKE kwa kuweka masirah ya chama pemben
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom