Mungu hakutuweka hapa Duniani ili tuwe na ,, furaha“ hata ukiangalia cinema za Yesu hakuna mahali ambapo niliona Yesu akicheka cheka hovyo na kula bata kwa furaha, Yesu alikuwa anajua maisha ni magumu ndo maana hakuwa na ,,furaha“ bali alikuwa anajitahidi kujituma kupunguza matatizo na siyo kucheka cheka upuuzi eti furaha huku ukiiba fedha za Wananchi.
Maisha ni magumu ni mtu low IQ tu ndo anaweza kuwa na ,,furaha“ Dunia hii, furaha ya nini wakati najua muda wowote nakufa, naweza ugua, au kupoteza girlfriend wangu, Mzazi wangu kaambiwa ana saratani isiyotibika, sasa furaha inatokea wapi?