hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,394
yeap kula tano mkuu umenikumbusha mbali sanaBlack Eyed Peas-- Where Is the Love..?
yeap kula tano mkuu umenikumbusha mbali sanaBlack Eyed Peas-- Where Is the Love..?
So Mo planned for this?
Wajaribu tu kuliko kuhofia jibu la TLHata familia ya TL iliomba uchunguzi wa kimataifa walichojibiwa....
Anamaanisha Mo yuko jirani ya hapo hapo.Mh. Zitto Kabwe, katika ukurasa wake wa Twitter aliamua kutoa povu nae kupunguza sumu mwilini kwa kutoa mtazamo wake juu ya swala la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu barani Africa, Mohamed Dewj (Mo Dewj).View attachment 897494
Scotland Yard nawakubali kubababake zaoHawawezi kuwa serious kwa swala linalowazidi ki taaluma, na ki mamlaka !!!
Kila wakati serikali inakataa kusaidiwa maswala haya, hasa kutoka FBI, Scotland yard, Mosad nk. Lakini ni kweli kuwa UTEKAJI Tz umeshafikia kiwango cha juu mno, na police pekee bila msaada ni ngumu kufanikiwa.
Muda si mrefu watapata aibu.Nahisi kukupa tusi mpaka kaburini kwako
Mheshimiwa unahamu ya kuandika tuu au unapenda kukandya kila kitu?Zitto kabwe akiwajibu Usalama wa taifa[emoji120] View attachment 898225
Mmh,,sio kweli,,juzi kati nimemuona yeye akiwa kama mwenyekiti wa bodi ya VODACOM, waliwaita media walikuwa wanazungumzia suala la yule dada mkenya ambae serikali ilikuwa haijampa vibari vya kuwa CEO wa vodacom tzWakina Mafuruki walisha kimbia Yupo zake S.A
Nimemwona Mzee Dewji anavyolia. Kwa hali aliyonayo, sidhani kama kuna "kujiteka" pale. Hili tukio ni la kweli kabisa.So Mo planned for this?
Tatizo umekurupuka kuandia hio comment yako, bila kusoma, nenda kasome kwanza hicho alichoandika Bwana Zitto Kabwe kwenye twitter yake na uelewe vizuri, halafu uangalie kama una mantiki/mashiko na hio barua yako ya mapenzi ulioandika.Mheshimiwa unahamu ya kuandika tuu au unapenda kukandya kila kitu?
Hivi unataka wakwambie kuwa tumeangalia cctv camera zote eneo hilo na uchunguzi unaendelea.
CCTV footage ni sehemu nzuri ya kupata data za kuendeshea uchunguzi lakini inaongezewa na data nyingine nyingi tu kukamilisha kitu kizma. Hebu tuwaachie wafanye kazi kwanzi muwashawasha wa nini????
Usisahau, na wananchi pia tunashughulikia hili swala ili tupate ile Billioni1 tulio ahidiwa[emoji18]serikal ipo ina shughulikia suara hili kikubwa kumuombea popote alipo awe salama