Zitto Kabwe VS Tukio la Mo Dewj

Zitto Kabwe VS Tukio la Mo Dewj

Japo wanakataa usaidizi wa nje vyombo vyetu havina uwezo huo wa kukabiliana na haya,Maana havijawahi leta matokeo chanya tangu yameanza kujitokeza
Hawawezi kuwa serious kwa swala linalowazidi ki taaluma, na ki mamlaka !!!
Kila wakati serikali inakataa kusaidiwa maswala haya, hasa kutoka FBI, Scotland yard, Mosad nk. Lakini ni kweli kuwa UTEKAJI Tz umeshafikia kiwango cha juu mno, na police pekee bila msaada ni ngumu kufanikiwa.
 
Mh. Zitto Kabwe, katika ukurasa wake wa Twitter aliamua kutoa povu nae kupunguza sumu mwilini kwa kutoa mtazamo wake juu ya swala la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu barani Africa, Mohamed Dewj (Mo Dewj).View attachment 897494

usha kusikia aliye gundua jokofu ametokea nchi ya baridi.muache mwarabu anayekundanganya ukifa anakuzika mda huo.ujue kuwa kwa mwarabu ni joto ukifa utaoza
 
Japo wanakataa usaidizi wa nje vyombo vyetu havina uwezo huo wa kukabiliana na haya,Maana havijawahi leta matokeo chanya tangu yameanza kujitokeza
Hebu fikiri kama Dodoma waling'oa CCTV ili ukweli usijulikane, halafu watu wanakwambia eti dereva anakwamisha uchunguzi!!
 
Huyo ISIS hasemi hayo kwa sababu ya ushabiki wa Yanga na Simba. Huyu ni mpumbavu fulani hivi anayeshabikia mateso kwa wenzake hasa yale ambayo serikali inahusiswa direct au indirect. Ni mpuuzi mmoja hivi ambaye anataka wanaJf waamini kwamba yeye ni Usalama wa Taifa na hivyo anayajua vizuri matukio hayo na chanzo chake. Ni Bogus fulani hivi anayejifanya kujificha kwenye msimamo mkali wa kidini akitumia neno "walah" ambayo hupenda kuliandika mwisho wa post zake, "walahi". Ni mtu wa ovyo anayedhani maneno ya ovyo kwa vitu serious yanamsaidia kujenga umaarufu JF! Ni mtu masikini wa fikra na fukara wa busara. ACHANA NAYE MKUU.
Kashupalia 'walahi' kwenye kila sentensi kama vile anazitoa kielektroniki
 
Nop I don't think he has mastermind behind this whole issue. Kwanza, hili swala litamyumbisha kibiashara sana. Pili, ana familia, mke na watoto ambao wanaweza kuathirika kisaikolojia. Tatu, serekali wasingekataa uchunguzi wa kimataifa kama kungekua na dalili hizo. Nne, sidhani kama ana muda mchafu kama huo wa kujiteka mwenyewe wakati ana mambo chungumzima ya kumuingizia hela.

Tano, huyo jamaa aliesema hivo hapo juu anamchukia tu Mo Dewj toka moyoni bila sababu, nahisi atakua shabiki wa Yanga.[emoji18]
Mkuu nadhani ana sababu tofauti na ushabiki wa Yanga, sis mashabiki wa Yanga ni waungwana sana
 
Huyo ISIS hasemi hayo kwa sababu ya ushabiki wa Yanga na Simba. Huyu ni mpumbavu fulani hivi anayeshabikia mateso kwa wenzake hasa yale ambayo serikali inahusiswa direct au indirect. Ni mpuuzi mmoja hivi ambaye anataka wanaJf waamini kwamba yeye ni Usalama wa Taifa na hivyo anayajua vizuri matukio hayo na chanzo chake. Ni Bogus fulani hivi anayejifanya kujificha kwenye msimamo mkali wa kidini akitumia neno "walah" ambayo hupenda kuliandika mwisho wa post zake, "walahi". Ni mtu wa ovyo anayedhani maneno ya ovyo kwa vitu serious yanamsaidia kujenga umaarufu JF! Ni mtu masikini wa fikra na fukara wa busara. ACHANA NAYE MKUU.
Na Wewe je una busara kweli kwa povu hilo?
 
Zitto kabwe akiwajibu Usalama wa taifa[emoji120]
tapatalk_1539532726642.jpeg
 
Nop I don't think he has mastermind behind this whole issue. Kwanza, hili swala litamyumbisha kibiashara sana. Pili, ana familia, mke na watoto ambao wanaweza kuathirika kisaikolojia. Tatu, serekali wasingekataa uchunguzi wa kimataifa kama kungekua na dalili hizo. Nne, sidhani kama ana muda mchafu kama huo wa kujiteka mwenyewe wakati ana mambo chungumzima ya kumuingizia hela.

Tano, huyo jamaa aliesema hivo hapo juu anamchukia tu Mo Dewj toka moyoni bila sababu, nahisi atakua dishi limeyumba kidogo, WALAHI[emoji18]
Hahaaa
 
Back
Top Bottom