Zitto Kabwe: Usiku wa kuamkia leo ulikuwa mgumu zaidi kwenye maisha yangu ya kisiasa

Wazee wa Kiki wanajulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
ninacho pongeza uumbaji wa mungu ni kwamba kila nafsi itaonja mauti hata ulindwe na majeshi 10000000000000000 , furaha yako leo kuna kilio soon kutakuandama maananwapo wanao lia leo huku wewe ukicheka, siasa na utu ni vitu viwili tofauti na hakuna nchi iliyo wahi pata maendeleo kwa kumwaga damu zisizo hatia, ila amini tu katika unacho amini iwe A au B ila kwa dini yako unayo amini mshukuru mungu katika uzima huo.
 
Serikali ina taratibu zake za kuua. Kwanza unapelekwa mahakamani, then kesi, ukipatikana na hatia kama ni kosa kubwa unahukumiwa kunyongwa, na rais hutia saini, basi hapo utanyongwa hadi kufa, kwa hiyo suala la lissu ni la wapinzani
uko sahihi we endelea tu na sherehe yako ndugu hakuna wa kukuzuia, ila kizuri nikwamba kila nafsi ina wakati wake muafaka wa kuionja mauti
 
Mwangosi aliuawa na nani na vipi? Ben Saa nane yupo wapi? Mawazo alikufaje na baada ya kifo chake kilifuata nini? Ulimboka, Kibanda hao ni wachache tu. Tuache porojo za kusema kisiwa cha amani wakati tunaishi kikondoo!!!! Unafiki ndo unatufanya tujidanganye eti kisiwa cha amani. Je, wangekuwa wanaruhusu kuandamana kupinga hivi vitendo, wangapi wangeingia barabarani leo? Walinzi wanasubiri mtu ajitokeze hapo ndo washa washa zinatoka mapangoni, na kila aina ya silaha.
WaTz hatutakiwi kuogopa washawasha na kesi za kubambikiza vinginevyo tunaenda utumwani na hatutaweza kutoka humo

Cairo's
 
Kuna kipindi mkubwa wa polisi alisema masuala ya utekaji na watu kufanyiwa vitendo vya kikatili si jambo geni hapa nchini na wakati huo huo Waziri wake anasema haya mambo hayajazoeleka hapa nchini ..
Huyo ndo mhusi na ndo mratibu wa yote hayo tatizo hatutaki kuwa wakweli ss nazani ni kwa kuogopa lakn kiukweli mhusika ni serikali na chama chao kwakuzani kuwa wao hawatokufa lkn iko siku tena ipo jirani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaandika Mbunge Zitto Kabwe.
[HASHTAG]#HuuSiUtanzania[/HASHTAG]

Usiku wa kuamkia leo ulikuwa mgumu zaidi kwenye maisha yangu ya kisiasa.

Nimetumia muda mwingi nikitafakari na kumfikiria sana mwanasiasa mwenzangu, kaka yangu, mbunge mwenzangu na rafiki yangu Tundu Antiphas Lissu.

Siku zote, katika maisha yetu ya kisiasa, hata katika mambo tunayotofautiana na kupingana nimekuwa nikiamini kwa dhati kwamba tofauti hizo haziwezi zikatufanya tukashindwa kuvuka salama kama Nchi, Kama Taifa.

Kilichotokea na kumpata ndugu yetu Lissu jana, ni kitendo cha kihalifu na kisichoendana kabisa na utamaduni wetu wa ustahimilivu na undugu ambao nchi yetu imekuwa ikisimamia.

Kitendo kile cha kikatili kinakwenda kinyume kabisa na misingi ya utaifa wetu ambao tumekuwa tukiujenga kwa miaka 25 sasa kwa kuwa na taifa huru kidemokrasia.

Watanzania tunaolitakia mema taifa hili tuna kila sababu ya kulaani na kukataa kabisa utamaduni huu wa kimafia kuzoeleka katika taifa letu.

Tusimame kulaani kwani [HASHTAG]#HuuSiUtanzania[/HASHTAG]
Wanasiasa wetu Tanzania ukiwemo kaka Zitto, msikatishwe tamaa na vitisho hivi, bado tunawategemea saana kwa ukombozi wa taifa letu la Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaandika Mbunge Zitto Kabwe.
[HASHTAG]#HuuSiUtanzania[/HASHTAG]

Usiku wa kuamkia leo ulikuwa mgumu zaidi kwenye maisha yangu ya kisiasa.

Nimetumia muda mwingi nikitafakari na kumfikiria sana mwanasiasa mwenzangu, kaka yangu, mbunge mwenzangu na rafiki yangu Tundu Antiphas Lissu.

Siku zote, katika maisha yetu ya kisiasa, hata katika mambo tunayotofautiana na kupingana nimekuwa nikiamini kwa dhati kwamba tofauti hizo haziwezi zikatufanya tukashindwa kuvuka salama kama Nchi, Kama Taifa.

Kilichotokea na kumpata ndugu yetu Lissu jana, ni kitendo cha kihalifu na kisichoendana kabisa na utamaduni wetu wa ustahimilivu na undugu ambao nchi yetu imekuwa ikisimamia.

Kitendo kile cha kikatili kinakwenda kinyume kabisa na misingi ya utaifa wetu ambao tumekuwa tukiujenga kwa miaka 25 sasa kwa kuwa na taifa huru kidemokrasia.

Watanzania tunaolitakia mema taifa hili tuna kila sababu ya kulaani na kukataa kabisa utamaduni huu wa kimafia kuzoeleka katika taifa letu.

Tusimame kulaani kwani [HASHTAG]#HuuSiUtanzania[/HASHTAG]
Baada ya Lissu ni nani tena? hofu!!
 
Ni kweli Zitto hali hii inatisha
 
MImi binafsi baada ya kumuona usiku Airport akipandishwa ndege akiwa kwenye machela huku ametundikiwa drip ya damu na kifaa nilichohisi kitakuwa labda ni life supporting machine, kwakweli usiku wa leo sikulala kabisa.

Wabunge na wananchi wengine tulikuwa kama tumepigwa ganzi kila mtu haamini macho yake.

Mbowe,Msigwa na mke wa Lissu ndio waliondoka na mgonjwa.

Kuona na kusikia ni vitu viwili tofauti kabisa.
poleni sana mkuu,mimi na mke wangu tulichofanya jana tumeomba sana hadi saa saba usiku
 
Mwangosi aliuawa na nani na vipi? Ben Saa nane yupo wapi? Mawazo alikufaje na baada ya kifo chake kilifuata nini? Ulimboka, Kibanda hao ni wachache tu. Tuache porojo za kusema kisiwa cha amani wakati tunaishi kikondoo!!!! Unafiki ndo unatufanya tujidanganye eti kisiwa cha amani. Je, wangekuwa wanaruhusu kuandamana kupinga hivi vitendo, wangapi wangeingia barabarani leo? Walinzi wanasubiri mtu ajitokeze hapo ndo washa washa zinatoka mapangoni, na kila aina ya silaha.
Mkuu itendee haki post yako mtaje na marehemu chacha wangwe basi ili ubalance hoja yako.
 
Back
Top Bottom