Zitto Kabwe: Usiku wa kuamkia leo ulikuwa mgumu zaidi kwenye maisha yangu ya kisiasa

Ulichokiandika kinaonyesha ufaham wako wa siasa ni mdogo au umejawa na ushabiki.

Kasome mapendekezo ya bunge juu ya ESCROW.


Zitto hajawahi kufanya chochote cha maana kwa nchi yake na ndiyo maana nikauliza, kama kweli ana uzalendo na nchi yake maana naona bado hajijuwi.
 
Back
Top Bottom