Wakuu zangu nimeingia katikati ya Mjadala... Hivi kweli hamuamini maneno aliyoyasema Zitto au mnayo tafsiri yenu?..
Ukoloni haukwisha baada ya kupata uhuru wa bendera, na haujaisha upo bado na utaendelea kuwepo kwa muda mrefu sana ikiwa sisi wenyewe hatujifunza Uzalendo na haki ya Uraia..Hadi leo hii kilichobadilika ni vichwa tu vya watawala toka ngozi nyeupe kuja Nyeusi lakini walijua wataweza fidia vipi kuutoa uhuru kwa nchi nyingi za kiafrika kwa hiari yao. Na kiongozi yeyote anayetambua hilo mapema nadhani tunatakiwa kumpa moyo zaidi kwa sababu msisikie Ukoloni mamboleo ni mbaya kuliko ule wa Kukoloniwa...
Yes Miaka 50 ya Uhuru imetufikisha hapa na wakati wote wa Nyerere, Mkapa Mwinyi na hadi JK tumeona jinsi mkoloni alivyokuwa na mbinu za kila aina utafikri ni part of evolution...they were prepared for changes hizi na wao wako mbele yetu kwa kila hatua ya mageuzi. Ebu jiulizeni mifumo yote hii ya Uchumi tunaisoma toka wapi?.. Elimu yetu inaandikwa na kina nani?.. hawa watu wanajua wanachokitaka na wanajua kuunda policies kwa kutazama watu na mazingira yao we only fit in to solve their puzzle!
Na tusijidanganye kabisa kwamba misaada ya hawa watu inatoka bila masharti, wanatoa misaada wakijua tutafungua milango kadhaa wapenyeze. Why watu kama Chavez hawawapi misaada?..Cuba to be Socialist kwa nini wanyimwe misaada! kama wanaweza kuilipa. Hivyo, bado kabisa tunawatumika wao zaidi ya sisi wenyewe na kama mnamkumbuka mwalimu alipokataa misaada ya hawa wazungu kwa kuwaambia unaponipa msaada usinambie priorities na policies zipi zitumike, wewe sii unataka kulipwa na interest juu, then tuacheni sisi tupange maendeleo yetu..Walianza kumkatia na kumwita kila jina baya duniani, leo tunawaona kina Chavez na Kagame wote hawa ni watu waliotoa matusi kama ya Zitto.
Zitto anaweza kuwa na mapungufu yake lakini on that statement nadhani hawa Waingereza wanatakiwa kuelewa wazi kwamba hawatusaidii chochote kwani kama wangekuwa wanajali haya misaada ingelkoma toka mwaka 2000 wakati kina Zitto wamepeleka malalamiko kibao kwa Tonny Blair na chombo chake cha kuzuia rushwa lakini hawakumsikia ndio kwanza wakam appoint Mkapa kuwa mjumbe wa kamati hiyo...Kwa hiyo tuwe makini sana na tuweke uzalendo mbele ya kusujudia misaada ambayo ina malengo zaidi ya kulinda maslahi ya nchi hizo ktk makoloni haya..