Zitto Kabwe: "UKs Aid is reparation for colonial exploits"

Zitto Kabwe: "UKs Aid is reparation for colonial exploits"

Status
Not open for further replies.
All said ukweli utabakia kwamba hii misaada wanayoitoa ni aibu yao wenyewe kama reparation...Can't fool me! huwezi nambia Muingereza ana huruma saaana kutusaidia sisi wakati anatumia - When we were rulers they were better off! Hizi ndio story nazisikia sana kuhusu Oman na Zanzibar ati Zanzibar ilikuwa imeendelea sana chini ya Sultan na wajinga wanaamini wanataka kuvunja muungano bora warudi kwa Sultan. Hii misaada yote anayoahidi ni aibu ya kukoloni watu ati huruma!.

Siwezi kumsemea Zitto lakini size yake kuwaambia They can stick that shit in their ashakum!...huwezi kumsaidia mtu na matusi juu ukitegemea sisi tutakaa kimya kama tulivyotukanwa na Israel..
Mkuu on this Zitto is very Right labda tuseme angeongeza ujumbe kwa huyo mwana mama kuwa asitumie ugomvi wake binafsi na huyo Mengi kuwadhalilisha Watz wote! Hii ingesaidia huyo mama kuelewa kwanini Zitto ametoa msimamo huo! Sijui kwanini Kiranga amelipuka hivi kimtizamo wangu tunapaswa kujua chanzo cha huo mjadala then tujue Mtizamo wa Zitto ulikuwa base on what ?
 
right or wrong my country first, ni slogan nzuri lakin potofu, ni kauli hii hii ikitumika na ccm right or wrong my party first maisha yanakuwa kama ya livyo. Ukweli mama wa watu alizulumiwa basi. manji mnampakazia tu. Wewe unadhani Mengi ni msafi subiri. Zitto ujerumani wamekuahidi nini tena vile....lakini hata wao walikuwa wakoloni live with that.
 
Zitto,

Ni mzaha kusema vimsaada tunavyopewa ni fidia. Kwani hao Waingereza wanawema gani na sie kuwa watupe fidia bila ya kuwa tumewalazimisha kufanya hivyo?
 
Zitto,

Twitter ina character 140 tu, kama huwezi kuandika vitu comprehensive na succinct bora usiandike. Kwa faida yako mwenyewe. Lugha za watu hizi unaweza kuona unadiss misaada kumbe unachoandika kinamaanisha una equate misaada na reparation.
 
kwenye hii issue kama upo against Zitto wewe sio mzalendo ..huna exposure huwajui wazungu .
 
Kuwa na exposure ni vipi? Kuwajua wazungu nako kumekaaje?

wazungu ni wanafiki sana wabaguzi na wanawadharau sana waafrika.hata kama huamini acha lakini ukweli ndio huo hapo.hutaki acha
 
wazungu ni wanafiki sana wabaguzi na wanawadharau sana waafrika.hata kama huamini acha lakini ukweli ndio huo hapo.hutaki acha

Na hapo umejibu kuwa na exposure ni nini? Au umejibu linalohusu wazungu tu?
 
hIi dhana ya kwamba twitter ina maneno 140 tu basi ni bora kutoandika mie naona ni potofu na ndiyo inayopelekea wanasiasa wengi wasiojiamini kushindwa kutumia mitandao hii ya kijamii.
Kwanza kabisa namsifu Zitto anavyokuwa mstari wa mbele kuchangia huko twitter kwa ajili ya maendeleo ya nchi.
Pili huyu mleta mada namuona nae ni mpotoshaji tu, naamini kabisa alifuatilia kwa kina huu mjadala wa Zitto na mama wa kizungu, lakini kwa sababu zake binafsi kaamua kuchukua kipande kimoja tu cha kupotosha watu, na kweli akafanikiwa kuwapata wote wakatoa hukumu bila kuhoji!
Mwisho nampongeza Zitto kwa kumpa huyo mama maneno yanayomstahili, hawa wazungu wasitubabaishe hata kidogo na vi msaada vyao wanavyotupa ili waendelee kutunyonya vizuri, tena wasitubabaishe hata kidogo. Utajiri wetu sie, watuchezee na bado watake kututisha! Kama wana ubavu wakae na hiyo misaada yao waone kama tutakufa. WATANZANIA TUWEKE UZALENDO MBELE.TANZANIA bila misaada tunaweza



Zitto,

Twitter ina character 140 tu, kama huwezi kuandika vitu comprehensive na succinct bora usiandike. Kwa faida yako mwenyewe. Lugha za watu hizi unaweza kuona unadiss misaada kumbe unachoandika kinamaanisha una equate misaada na reparation.
 
THE FULL TWITTER TRANSCRIOT FOR THE BENEFIT OF READERS

ZittoZuberi Kabwe@zittokabwe10Jan
Did yousee this? http://in2eastafrica.net/tanzania-is-uk-aid-fuelling-corruption/ mind you, the author is aninvestor fighting with mengis on silvadale farm in moshi @Islam66
Details
Sarah Hermitage@Chomachomp12h
@zittokabwe @Islam66 I am not fighting with theMengi's Mr. Kabwe, I am seeking to uphold the rule of law in Tanzania. Sarah.

Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe10Jan
@Irenei2011told you that woman badmouths TZ bseof govt resistance to act on silverdale farms. She fights Mengis @regmengi@aeyakuze
Details
Sarah Hermitage@Chomachomp12h
@zittokabwe @Irenei2011told @regmengi @aeyakuze I tell the truth for allTanzanians. The choice is yours. Sarah Hermitage.
In reply to Zitto Zuberi Kabwe Hideconversation
10:29 AM- 11 Jan 12via web · Details


Aidan Eyakuze@aeyakuze10Jan
RT @Irenei2011: @aeyakuze hii hapa mkuu http://tinyurl.com/7h4wett My conclusion: She passes forrhetoric/polemic, but she fails on facts!
Details
Sarah Hermitage@Chomachomp11h
@aeyakuze @Irenei2011 I have all the facts, studiesetc. They did not come out of thin air! Just ask for them and I will send themto you. S
In reply to Aidan Eyakuze Hideconversation
10:41 AM -

Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe10h
@Chomachomp wht u wrote is a publicknowledge and I have been working for the last 10 years to improve @irenei2011 @regmengi @aeyakuze
Details
Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe10h
@Chomachomp if you didn't quarrel withMengis surely you wouldn't be writing what you write now @irenei2011told @regmengi @aeyakuze
Details
Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe10h
@Chomachomp and I do alot for my country.Very proud of the work. You do now bse of your problems @irenei2011told @regmengi @aeyakuze
Details
Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe10h
@Chomachomp the background btn you, yourhusband and Benjamin Mengi on silverdale. Also in Commons @irenei2011told @regmengi @aeyakuze

Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe11h
@Chomachomp I just questioned theobjectivity of Sarah bearing in mind her background @irenei2011told @regmengi @aeyakuze
Details
Sarah Hermitage@Chomachomp11h
@zittokabwe @irenei2011told @regmengi @aeyakuze If you know my background, forthe sake of your country why do you not do something?
In reply to Zitto Zuberi Kabwe Hideconversation
11:13 AM- 11 Jan 12via web · Details

Aidan Eyakuze@aeyakuze10Jan
@Irenei2011 But my deeper intent was todemonstrate the value of careful reading and, where possible, fact-checking toinform our debate.
Details
Sarah Hermitage@Chomachomp11h
@aeyakuze @Irenei2011 It is a pity your government usnot of the same view when it chased us from Tanzania like dogs in abuse of law!
In reply to Aidan Eyakuze Hideconversation
11:34 AM

Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe10h
@Chomachomp the background btn you, yourhusband and Benjamin Mengi on silverdale. Also in Commons @irenei2011told @regmengi @aeyakuze
Details
Sarah Hermitage@Chomachomp10h
@zittokabwe @irenei2011told @regmengi @aeyakuze Issue is not about personalites.It is about the Tanzanian government and the ruel of law!
Inreply to Zitto Zuberi Kabwe Hide conversation


Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe10h
@Chomachomp if you didn't quarrel withMengis surely you wouldn't be writing what you write now @irenei2011told @regmengi @aeyakuze
Details
Sarah Hermitage@Chomachomp10h
@zittokabwe @irenei2011told @regmengi @aeyakuze I think this statement says muchmore about you, than it does about me.
In reply to Zitto Zuberi Kabwe Hideconversation
11:54 AM - 11 Jan 12via web · Details


Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe10h

@Chomachomp wht u wrote is a publicknowledge and I have been working for the last 10 years to improve @irenei2011 @regmengi @aeyakuze

In reply to Zitto Zuberi Kabwe Hideconversation
12:22 PM- 11 Jan 12via web · Details
Sarah Hermitage@Chomachomp11h
@zittokabwe @irenei2011told @regmengi @aeyakuze I am sure, just not this issuehey!


Details
Sarah Hermitage@Chomachomp10h
@zittokabwe @irenei2011 @regmengi @aeyakuze Does it take that long to upholdthe rule of law in one simple overtly case?
In reply to Zitto Zuberi Kabwe Hideconversation
11:57 AM - 11 Jan 12via web · Details

Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe10h

@Chomachomp Right or Wrong my country first @irenei2011 @regmengi @aeyakuze
Details
Sarah Hermitage@Chomachomp10h
@zittokabwe @irenei2011 @regmengi @aeyakuze Without a rule of law, you haveno country to speak of!
In reply to Zitto Zuberi Kabwe Hideconversation
12:17 PM- 11 Jan 12via web · Details

Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe10h

@Chomachomp mind u, i dnt question merit ofyour case v. GoT rather your objectivity @irenei2011 @regmengi @aeyakuze
Details
Sarah Hermitage@Chomachomp10h
@zittokabwe @irenei2011 @regmengi @aeyakuze I think you did judt that!
In reply to Zitto Zuberi Kabwe Hideconversation
12:18 PM- 11 Jan 12via web · Details

Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe10h
@Chomachomp professionally you were todeclare interest and that you have a court case against Tanzania @irenei2011told @regmengi @aeyakuze
Retweetedby Sarah Hermitage
Details
Sarah Hermitage@Chomachomp10h
@zittokabwe @irenei2011told @regmengi @aeyakuze Professionally, the Citizen hadno right to steal my article and publish without permission
In reply to Zitto Zuberi Kabwe Hideconversation
12:19 PM - 11 Jan 12via web · Details
Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe10h
@Chomachomp professionally you were todeclare interest and that you have a court case against Tanzania @irenei2011told @regmengi @aeyakuze
Retweetedby Sarah Hermitage
Details
Sarah Hermitage@Chomachomp10h
@zittokabwe @irenei2011told @regmengi @aeyakuze You speak to me on ethics whenyour country treated us as they did?
In reply to Zitto Zuberi Kabwe Hideconversation
12:20 PM - 11 Jan 12via web · Details



Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe10h
@Chomachomp let the courts decide thematter. Dnt use your personal business fights to badmouth my country @irenei2011 @regmengi @aeyakuze
Details
Sarah Hermitage@Chomachomp10h
@zittokabwe @irenei2011 @regmengi @aeyakuze Your courts Mr Kabwe are rankedthe most corrupt in East Africa.
In reply to Zitto Zuberi Kabwe Hideconversation

Sarah Hermitage@Chomachomp10h
@zittokabwe @irenei2011 @regmengi @aeyakuze I will do whatever I want toexpose the corruptio in this case.
Details
Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe10h
@Chomachomp professionally you were todeclare interest and that you have a court case against Tanzania @irenei2011told @regmengi @aeyakuze
Retweetedby Sarah Hermitage
In reply to Sarah Hermitage Hideconversation

Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe10h
@Chomachomp professionally you were todeclare interest and that you have a court case against Tanzania @irenei2011told @regmengi @aeyakuze

Sarah Hermitage@Chomachomp10h
@zittokabwe @irenei2011told @regmengi @aeyakuze For the record, I have no courtcase against Tanzania or anyone in it!
In reply to Zitto Zuberi Kabwe Hideconversation
12:28 PM - 11 Jan 12via web · Details

Retweetedby Sarah Hermitage
Details
Sarah Hermitage@Chomachomp10h
@zittokabwe @irenei2011told @regmengi @aeyakuze For the record, the Citizen didnot seek my permission to publish this article.
In reply to Zitto Zuberi Kabwe Hideconversation
12:25 PM- 11 Jan 12via web · Details


Aggrey Mwanri@AggreyMwanri10h
Huyumwandishi wa haya maneno sijui amekusudia nini http://in2eastafrica.net/tanzania-is-uk-aid-fuelling-corruption/
Details
Sarah Hermitage@Chomachomp10h
@AggreyMwanri Welcome Mr. Mwanri.
In reply to Aggrey Mwanri Hideconversation
12:54 PM - 11 Jan 12via web · Details
Aggrey Mwanri@AggreyMwanri9h

@Chomachomp Yes Sarah I had this article http://in2eastafrica.net/tanzania-is-uk-aid-fuelling-corruption/ published in every social mediaso was wondering if you real intended to write
Details
Sarah Hermitage@Chomachomp9h
@AggreyMwanri Baba, it was written forTheLondonEveningPost and In2. The Citizen did not seek permision nor anyoneelse! Sarah.
In reply to Aggrey Mwanri Hideconversation
1:16 PM - 11 Jan 12via web · Details
Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe9h

@abdu52 can't comment on the case but @Chomachomp has no right to badmouth mycountry bse of her personal business fight with Mengis
Details
Sarah Hermitage@Chomachomp8h
@zittokabwe @abdu52 There was no mention of theMengi's in the article. I have a right to expose corruption wherever.
In reply to Zitto Zuberi Kabwe Hideconversation
2:13 PM - 11 Jan 12via web · Details

 

Money given in aid by the people of the United Kingdom to Tanzania is reparationfor colonial exploits states Tanzanian M.P. Zitto Kabwe.

The "country was built by colonial exploitation. Whether your born or not. We can as well survive without youraid, take it” he says.

Zitto Kabwe is a member of the Tanzanian Parliament (CHADEMA), representingKigoma North and is Shadow Finance Minister and Chairperson for Tanzania’sPublic Investments Committee. He is therefore a man that shapes governmentpolicy in Tanzania.

In times of unprecedented recession in the UK, I am sure that most would indeed like to stop aid to a country whose policy makers display these kind of sentiments when you scratch the surface!

Pole Sana Tanzania!

Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe
@Chomachomp your country was built by colonial exploitation. Whether your born or not. We can as well survive without your aid, take it.

Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe11 Jan11 Jan@Chomachompyour case is genuine totally but don't link to aid Tanzania gets from UK. Your country's aid is reparation for colonial exploits




--------
Zitto's response to this thread:

Evidence Mr. Kabwe?
 
Naamini kabisa kama wao waliweza sisi pia tunaweza kama tutawezeshwa kwa Policies ambazo zitawajenga kwanza wananchi wake na sio kutegemea wageni iwe kwa misaada au uwekezaji..Kuna matajiri wengi sana Dar nimewaona mimi enzi zetu wakiwa na vibanda (kiosk)vya kuuza urembo wa wanawake, kimbo na sabuni mitaani leo ni mabillionea, Kina Bakhresa walianza kama washona viatu leo mabillionea tena tajiri kuliko mashirika ya wazungu wengi tu..Kwa nini taifa liwe tegemezi kwa wazungu ikiwa tunaweza kabisa kuanza toka ndani..

But trust me, hawa watu wangekuwa na interest ya kutengeneza juice za maboksi, unga wa ngano, ice cream, maji ya chupa, watawala wetu wangehakikisha kina Bhakhresa wanapotea katika ramani ya biashara. Vinginevyo watu hawa wanataka vitu kama madini, mafuta, gesi, mahoteli makubwa huko mbugani n.k, sector ambazo sio kwamba hakuna watanzania wanaoweza kushiriki kikamilifu kama kuna the right policies unazozungumzia mkandara.
 
Na hapo umejibu kuwa na exposure ni nini? Au umejibu linalohusu wazungu tu?

ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze..ukitaka kuwajua wazungu ishi nao na sio kukutana nao kwenye mikutano na kusaign mikataba . you got me?
 
Pamoja na ukweli kwamba UK was built in that way, we should not be fooled by politicians who use it as an excuse to justify their poor perfomance. Mkoloni aliondoka miaka 50 iliyopita, mbona hakuna kikubwa cha maana kilichofanyika? Kikubwa tulichofanya ni kuvuruga hata yale mazuri yaliyofanywa na wakoloni. Angalia shule alizoacha mkoloni uone hali yake ya sasa ikilinganishwa na mwaka 60, angalia hospitali, angalia barabara ovyo ovyo. Bado tunamlalamikia mwingereza?? Ukiangalia misaada iliyopata Tanzania toka kwa Uingereza, na nini kimefanyika na misaada hiyo unaweza kuonesha ni nini kimefanyika?

Si siri kuwa mkoloni alikuwa mwizi, lakini viongozi wetu wa sasa ni worse kuliko mkoloni, hawana haki ya kumlaumu mwingereza.

umefanya nini kuimprove hayo uyasemayo?
 
Zitto kabwe ni wa ukweli ..hawa wazungu wana roho mbaya sana na sasa hivi inabidi kweli viongozi wetu waache kulamba masaburi ya wazungu ni watu wabaya sana ,wabaguzi ,roho mbaya.
 
Impact ya colonisation ipo, hilo ni fatc.

Kwamba viongozi wetu ni wadhaifu, yes, lakini ukiangalia tena kwa upande mwingine,udhaifu huo unatumiwa bado na mkoloni, kwani mkoloni aliondoka kwa kupenda?

Na kile alichokuwa akikipata mkoloni ina maana sasa anaona kwamba hakina manufaa tena?

Kweli kuna namna nyingi za kufikiri lakini ni muhimu kufikiri kwa mapana zaidi.

Ni ukweli kwamba viongozi ni wabinafsi na ndiyo maana wanajali tu ten pasenti.

Hata hivyo wakiwa na msimamo kama lets say Gaddafi, yani kusimamia rasilimali vyema na kuwabana kwa manufaa ya wananchi.

Mkiuu, inasikitisha na inauma sana unapoona kwamba tulilonalo wa TZ ni kulalamika na kutoa visingizio tu. M
bona Malaysia, na nchi zingine za Asia nazo zilitawaliwa na kupata uhuru karibu wakati sawa kama sisi. Lakini angalia walipo sasa kimaendeleo! W
ao ni kazi tu, hakuna visingizio.
 
Ma Great thinker wengi humu ndan mna fanana na Jk kwa uropokaji na majibu rahisi kwenye ishu ngumu,ishu aloiongelea zitto wengi hamuijui wala kuifatilia kimataifa,kama zitto kakosea ajitokeze mmoja aweke hapa majibu stahiki alopaswa kupewa huyu mama,hata mwalimu naamin kama angekuwepo angetoa majibu kama ya zitto (rejea msimamo wa Tz 1965) baada ya uhuru bandia kwa Zimbabwe.nyie mlitaka zitto ampigie magoti ili Tz isinyimwe misaada,mnakubali muhindi(manji) amlipe mzungu kwa ajili ya kuibomoa nchi kwny medan ya kimataifa.hongera zitto kutetea utaifa bila kujali kitisho cha kunyimwa vijimisaada.
 
But trust me, hawa watu wangekuwa na interest ya kutengeneza juice za maboksi, unga wa ngano, ice cream, maji ya chupa, watawala wetu wangehakikisha kina Bhakhresa wanapotea katika ramani ya biashara. Vinginevyo watu hawa wanataka vitu kama madini, mafuta, gesi, mahoteli makubwa huko mbugani n.k, sector ambazo sio kwamba hakuna watanzania wanaoweza kushiriki kikamilifu kama kuna the right policies unazozungumzia mkandara.
yap na ndio maana huwa nawauliza watu hivi hawa wazungu walipogundua dhahabu na mafuta huko kwao walimwita nani kuja kuchimba? Si walichimba wenyewe, tena wakati huo hawana uwezo, nyenzo wala usafiri kama tulonao leo ktk masoko... Sasa kwa nini sisi tunataka Utajiri wa haraka sana kwa kufanya Umalaya ili tuwe kama wao ama tupewe ranks kulinganisha na wao?.

Hawa watu wote wanaopongeza Ukolonimambo leo hawana tofauti na malaya ambaye anafikiri akiuza mwili wake atatoka ktk umaskini na kupata utajiri haraka sana...Na hakuna kitu kibaya zaidi kama kufanya umalaya kwa shida, hapo ndipo utalishwa hata unga na kuwa kijiwe((addicted)..sio tu hutakuwa tajiri bali utafupisha hata maisha yako. Hizo HongKong, SouthAfrka na kadhalika walitumiwa tu kama malaya wa Cuba Club.. Yes ukiwaona mitaani wana magari ya nguvu na nyumba Masaki lakini nyuma ya pazia, wanawake hawa hulala na hata mbwa kuwafurahisha mabwana zao... Mtanisamehe kutumia lugha mbaya, lakini my message ni kwamba hatuna sababu ya kujifananisha na Hongkong wala South Afrika..We are who we are!..

Ni wakati watanzania tunatakiwa kuipenda nchi yetu, tufikirie sisi tunaweza vipi kuijenga nchi yetu maana haiwezekani misaada hii kutusaidia ikiwa inatulazimu kuwa malaya or to be Down low!..tukilaani ushoga kumbe!...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom