MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
Kwa wapenda ukuaji wa vyama vingi nchini, Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe anawaomba kutoa mchango wa kiasi chochote cha pesa ili kukiimarisha chama na kukiwezesha kushiriki kikamilifu katika siasa na chaguzi mbali mbali nchini.
Kutoa ni moyo usambe ni utajiri!
Kutoa ni moyo usambe ni utajiri!