shungurui
JF-Expert Member
- Sep 1, 2008
- 3,765
- 5,170
Zito huaminiki, unachotakiwa sasa ufanye nikujenga trust usifikiri watz tumesahau undumilakuwili wako. Usifikiri unaweza kuijenga kwa mnada mchache kiasi hiko, kwa kutoka Nairobi then kukaa rumamde siku moja, yaani simple like that, ngugu you need to work hard than that, ni mapema mno,
naona unajipima kwa kuja na gia ya michango, ili ujue how far plan zako zimefanikiwa.
naona unajipima kwa kuja na gia ya michango, ili ujue how far plan zako zimefanikiwa.