Nenda kabake siku ya sherehe ya kuzaliwa ccm 5/2 utatolewa kwa msamahaKabisa sioni haja ya kutongoza na kuingia gharama
Miaka minne kitu gani, Mzee Msanga kakaa selo miaka saba!!Uamsho mwaka wa nne wapo rumande bila hatia yoyote wenye hatia na bikini imepita wanaachiwa
Hahahahahahahahahahaahaha....Kabisa sioni haja ya kutongoza na kuingia gharama
LIFE GO ZONE.Haya mambo magumu sana, Upande wa familia za waathirika yaani kwa watoto na ndugu, Upande wa siasa na uhalisia, Pengine kuna mambo nyuma ya pazia, Lakini muda ni wakati ukweli utaonekana ,"tusubiri ukweli "