Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,156
Muhimili upi wewe ?tafsiri ya bunge nenda ibara ya 62(1),Bunge lina sehemu 2, Rais na Wabunge
Mimi sipingani na uwepo wa Mihimili ,nna pinga Utaratibu kutofuatwa kwa mujibu wa Sheria.Raisi anayo matakwa ya kikatiba vile vile Bunge nalo lina Matakwa ya kikatiba ktk kutekeleza Majukumu yake.Haiwezekani a Trillions of Money ifanyiwe Bajeti na Mtu mmoja au Taasisi moja.Matumizi yote ni lazima ya hidhinishwe na Bunge ambalo ndio Wananchi wenyewe.