Mnafiki mkubwa huyo kazi kila kukicha kuropoka Urais ili CDM wapoteze lengo.Inabidi kila anakoenda ni lazima Kitengo cha intelejensia CDM kipeleke watu kumfuatilia.
Kama kiingereza shida,si uandike tu kwa kiswahili?
Duu rais zitto ni noma kaamua kumfuata slaa mpaka kwao.kweli kamanda yuko kazini sasa hio ni M4C au leka dutigite?
:ranger: leo naona kundi la zitto lipo juu zaidi kwa vijembe kuliko siku zote, inaonekana jamaa wamejipanga kwa lolote humu ndani.
wewe shamba boi na tarishi wa Dr. Slaa tuliza akili hiyo ndio demokrasia; hata wewe kama unajiweza tangaza nia yako ya kugombea uraisi; kumbe na Chadema mna intelijensia asante sana kutujuza; niliwahi kuambiwa intelijensia yenu inafanyakazi kama mganga wa kienyeji; kuwekeni makini msije makijita vidole vya macho.
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu Inteligensia yao ni majungu ambayo molemo mshumbusi na ben saanane wanampelekea babu slaa.
Wadanganyeni hao hao.
Suala siyo kumpa wala kutompa Bob! suala ni kauli gani unatoa wapi? Sasa na Mbowe, Slaa, Mnyika, Mdee, Sugu, nk wakienda kwa wananchi/wanahabari wakitoa kauli kama hizo itakuaje? Mbona hata nyie wa CC Mabwepande mna utaratibu? Mbona hata huyo C*F bibiye wenu wana utaratibu? hakuna mropokaji? ZZK ni pandikizi na hana nafasi! tuko tayari kupoteza wanafiki na mapandikizi wote na kuanza moja!!
Dah! Kweli hii ndo JF yani watu majungu tu alafu eti chama kimoja? Hebu acheni jamani hayo majungu mnayopigana na kuchafuana ninyi kwa ninyi kwani nyie wote ni wamoja na mnaunganishwa na CHADEMA na adui yenu mkuu sio Zitto, slaa au Mbowe bali adui yenu ni CCM, sasa inabidi mbadilike kwani haya mabandiko mnayoyaandika hapa na matusi juu ni kujiharibia sifa,
acheni jamani ushabiki wa watu na internal chuki kwani zitakiangamiza chama.
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa yao.
Hana nafasi chadema kwakuwa si mchagga.
Katiba mpya ijayo inanipa raha kweli hasa kipengele cha kushusha umri ,na kipengele cha mgombea binafsi!
Mkuu umeacha lini kuwa adui wa zitto,?
Wewe kweli unaweka maslahi ya cdm mbele na sio maslahi ya mbowe na slas?
haiwezekani watakua hawajakulipa mshahara hewa pale chadema tv.
Kama noma na iwe noma mnaacha kuleta hoja za msingi mnaketa hoja za ushabiki hapa halafu muachwe salama?
KAKA maadam tunawajua lazima tuwaweka hadharani tukimumunya MANENO watakuja kaharibu CHAMA CHETU. na huyo MWAPAMBA anajinadi yy NI mbunge aliyechakachuliwa. HATA jamii itatushangaa kuwa na Wabunge wa CARIBER ya huyu MVUTA BANGI. Wakienda kwenye misiba wanakunywa pombe mpaka wanalala vibarazani na Mwenzie GWAKISA.
Tuntemeke....kwi....kwi....tehe....tehe..