Zitto Kabwe, ndani ya Addis na JK

acheni majungu watoto wa mtei. mbona hamsemi ni kosa gani kafanya kwa kuhudhuria mazishi?
 
Alafu mnataka zitto awe rais wenu.. Huyu ni ccm damu na akiwa rais atawafichia sana madhambi ya vigogo wa ccm ndio maana wanataka awe rais.. Zitto agombee urais ccm atapata na ana washabiki wengi hapa JF nao watakimbilia ccm bt akae mbali kabisa na cdm. JK ashaanza kumfundisha zitto jinsi ya kuhudhuria misiba na jinsi ilivyo raha kuchota allowance ya kila siku kwa kutumia pesa za walipa kodi
 
Haka kajamaa nika**** sana,kanategea kuimalisha chama,kina slaa wanahangaika na m4c then baadae kaje eti nataka kuwa raisi..hapo kamekwenda kuuza dili kwa mwislamu mwenzie,hatudanganyiki.
 
Sasa tatizo liko wapi mbona makubwajinga hayaishi majunguu kuwa mwanasiasa sio et ndo uchukie mtu wa chama kingine wote watz upande wangu hakuna tatizo. cdm m4c daima.
 
Hapa natizama Live Ethiopia TV bado sijamuona Zitto alipokaa ila Nimemuona Museven na Kofia lake la Cowboy..
Dr.W. Slaa Ethiopia ndio Asilia yake Alistahili kabisa Kuwepo kwenye Msiba wa Kaka yake...

Watu ni Wengi Sana Wamekusanyika na Big Sreen zimewekwa Pande Nyingi Sasa Utulivu ni Mkubwa Sana sio kama zile siku za Mwanzo Vilio vilikuwa kila Wakati
 
Last edited by a moderator:
sanane hii ni kweli? Au wanamsingizia mwajiri wako mzee
 


tatizo c kuwakilisha CDM ktk shughul za ktaifa apa tatizo ni mwenendo mzima wa huyu dogo ndan ya CDM hasa m4c inayoendelea ivo bas mtoa mada kaeleza tu ishu ya ethiopia kama sehem ya doubts nying za uyu dogo mana hasomeki kabisa uyu dogo! elewa mkuu!
 
Sijui waTg tukoje! Kila kitu kurahisisha! Ooh siasa sio vita siasa sio vita! Umesha ona kunguru wanaruka pamoja na njiwa?

slaa amekuwa akiishi na mke wake wa ndoa mama rose kamili,slaa akiwa mbunge wa chadema na katibu mkuu wa chadema huku mke wake wa ndoa akiwa diwani wa ccm na wamekuwa wakilala pamoja na kula pamoja lakini hilo mashabiki wa cdm hawalioni bali wanaona tatizo zitto akiwa msibani na kikwete!
 
Haka kajamaa nika**** sana,kanategea kuimalisha chama,kina slaa wanahangaika na m4c then baadae kaje eti nataka kuwa raisi..hapo kamekwenda kuuza dili kwa mwislamu mwenzie,hatudanganyiki.

Slaa hana kazi ya kufanya na chadema wanamlipa mshahara mnono sana kwa hio yuko kuwajibika.slaa fanya kazi utapewa uenyekiti wa wazee mwakani.
 
Hajapata usaili katika chama hiki kipya(M4C) bado anasimamia CDM.

Zitto nae anachama chake kipya kinaitwa leka dutigite cha watu wa kigoma huku wachaga wakiwa na na M4C movement for chagga teh teh teh mpambano wa hivi vyama vipya ni noma sana
 
bangi inakuharibu mkuu

mzito k huo ni ukweli kuwa wakati mh. Zitto anazaliwa mwaka 1975 zenawi alikuwa yuko chuo kikuu mwaka wa kwanza. Mtake radhi ulimwambia anavuta bangi. Halafu hapa ni jukwaa la great thinkers.
 

mkuu mbona umeng'ang'ania hapo? wewe nia slaa au mbowe? kama sio ni bora ukajinyamazia .... mawasiliano alikuwa anafanya na nani mpaka yakakatika? kama alitoroka bila mabosi wake kujua mpeni talaka kama mnao ubavu huo.
 
Kuna member mwenzetu aliandika humu kuwa j.k. Asipoenda kuzika ethiopia tukamtoe uhai mabwepande. Watu wanaona mbali..
 
Ni vizuri tumezijua rangi zake mapema,huyu si wakwetu. Ni mikutano michache sana ya chama anahudhuria anakuwaga wapi?
 

Thibitisha hapo kwenye RED.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…