Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,196
Zitto is wiser than that., hawezi kufanya hivyo hataingekuwa kweli ataondoka Chadema., lakini kwakua sijui ya ndani mwa moyo wake, niseme tu yakitokea hayo nitakuwa verily verily disappointed in Zitto and in siasa za Tanzania.,
Km umefuatialia kwa makini mara chache alizopanda jukwaani utaona yaliyoanza mponyoka......utaona pressure in him na disperation iliyopo ndani yake,huku akizungukwa na washauri waliojaa ego.Ni wazi zinapokaribia siku 14 michango ya watu,na kujitazama ndani kunaweza mchanganya sana.Akijitazama na kuangalia kwa mapana nini kimemfikisha hapo..nini kimemwondolea enzi aliyokuwa akipendwa na kuabudiwa na vijana,siku kila mtu alilia naye alipohukumiwa na CCM kwa hoja ya mudhihir mudhihir...siku hata mimi nilipasua simu yangu kwa hasira ya makelele ya magamba, huku batilda burian akimmalizia....Dr.Slaa akajitahidi sana kujuia lile likawa gumu,akachagua option ya kushauri kupunguza adhabu bado magmba km nyumbu wakaongozana.Ilikuwa ni days of grace kwa Zitto.Hakika km angekuwa na maadili ya familia mazuri Zitto angesurvive fame.Asingekwenda out of his ways.
Zitto ktk siku 14 au baadaye kidogo atakuwa mtu w aajabu sana.Yetu macho....atajiuliza nini angekosa km asingeingia ktk mitego ya ajabu,atajifunza kwanini aliamua jificha ktk udini,ukabila, kiburi ya elimu ambayo bado ni ya kawaida na kudharau wengine?Ni vipi sasa ataweza jidai kuwa mtetezi w ahaki za wanyonge km wasio na elimu kwake hawastahili pita ktk mapito ayatakayo.?
Believe me kuna vitu hata mimi binfasi niliwahi vipuuza ,ila siku ya graduation walipopokea wenzangu nilianza amka sana.Niliona kuwa sikuwa responsible enough ktk maisha yangu.