Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,184
- 671
Nimesoma kwa makini michango ya wachangiaji hapa na nimegundua yafuatayo:
Zitto anachukiwa na wengine kwa sababu ya dini yake
zitto alionekana sehemu mbali mbali na hata ushahidi umo humu kwenye jf akiwanadi wagombea wengine mbali na jimbo lake wakati hata mbowe hajafanya kama alivyofanya zitto katika hilo
kisingizio cha ukomavu ukilinganisha na mbowe au lissu ni doughtful
kua na msimamo wa kibanafsi ati ni kasoro ? Mbona chadema mnawakosoa viongozi wa ccm kua wanasimama na chama chao hata kikiwa kwenye makosa na inapotokea wachache wakitoka na msimamo wao mnawapongeza na wakifukuzwa au kuacha chama mnawapokea likitokea kwenu hua si demokrasia bali ujuaji SASA NYINYI NI KIPI MNACHOKIAMINI ? MNATAKA ZITTO AWE HEWALA BWANA ? KUGOMBEA KWANI AKVUNJA KANUNI GANI ? JEE KATIBA YA CHAMA INASEMA MWENYEKITI AKIGOMBEA WENGINE WASIGOMBEE ?
nnaamini zitto anajua sumu hiyo ya umajimbo na udini iliopo ila niliwahi kumsikia akisema kua yeye aliamua kujiunga chadema ikiwa ni first choice yake hajawahi kuwa mwanachama wa chama chochote zaidi ya chadema na hategemei kujiunga chama chengine tofauti na hao wengine ambao kwanza walikua kwengine na walipangana na vyama vyAo kwa mujibu wa hapa ni wasaliti na sasa wamekuja huku kufuata maslahi
nakumbuka pia zitto alikusudia kuacha siasa baada ya kugundua hilo, yeye ni mtu wa msimamo na alitueleza kua yeye angependa awe muHADHiri na wala hana mpango wa kwenda ccm
nilichofahamu ndani ya kauli zake zile kua ameelewa nn kinaendelea ndani ya chadema kwa hio alitaka kuwaachia chadema na hao viongozi wanafiki na wenye kuendeleza udini
naamini zitto ana mapungufu yake ila wengi wanamuhukumu kwa mambo mawili udini na sehemu alyotokea
ila wajue kamba pekee ambayo inawalinda chadema na kuitumia kujisafishia japo haiwatoshi ni zitto na hili kidogo wanaweza kusema zitto muislam na tunaye zitto si wa kaskazini na tunae na yeye anajua kua ktk hili anafaa sana ila baada ya hapo anapigwa vita na kufitiniwa
na nna wasi wasi kua chadema hawawezi kuongoza upinzani na hata nchi na hapo ndio wamefika kwenye peak tusubiri anguko lao