Zitto Kabwe kupeleka Bungeni hoja binafsi ya kutokuwa na Imani na Rais Magufuli

Ulisema unakwenda Bungeni kuanzisha kura ya kutokuwa na Imani na Raisi wetu ili umuondoea Madarakani, umefikia wapi? Mara ya mwisho nilikuona Bunge letu likikuhoji, kwa utovu wa nidhamu, ...
Mkuu mmeshamaliza lisu
Naona sasa nguvu mmehamishia kwa zitto
Vp na yeye mtatumia risasi au mabomu?

Maana mmeshaanza na nyumba yake
 
Hiyo kura ya kutokuwa na imani namba anazo? Yeye mwenyewe ni mbunge mmoja kwenye chama chake, wenzke wa upinzani huwa wanasema ni ccm B, ccm kwa ccm watamtoaje rais wao mkuu?

Alihutubia jukwaani Dar na kumuonya Raisi wetu tena alisema walikuwa wanamsubiri Spika Ndugai arudi ktk India kwa maana Naibu Spika ni ,,pandikizi" ndo maana namuuliza kwani kimya kingi!
 
Ha ha ha,we jamaa asubuhi asubuhi hata hatujakata hangover ushaanza siasa?.

Au mwenzetu unalipwa kwa hii kazi?,maana wengine huwa tunapost kama njia tu ya kupoteza mda ila wewe sio bure hii ndo kazi yako.
 
Niko mpweke ndo maana, Demu wangu kaenda kwao likizo!
 
Alihutubia jukwaani Dar na kumuonya Raisi wetu tena alisema walikuwa wanamsubiri Spika Ndugai arudi ktk India kwa maana Naibu Spika ni ,,pandikizi" ndo maana namuuliza kwani kimya kingi!
Hana jipya yuleee, tunguli zake juzi zimeungua moto
 
Huyu mtu boya kweli kweli, hajui kuwa Bunge kufanya mchakato wa kumwondoa Rais madarakani ni sawa na maji kupanda mlima?
Ikumbukwe pia kuwa, Rais ana uwezo wa kuvunja Bunge na kisha watu wakaanza kugombea upya kutetea ubunge?
 
Back
Top Bottom