Zitto Kabwe kupeleka Bungeni hoja binafsi ya kutokuwa na Imani na Rais Magufuli

Huyu naye siku hizi amechujuka, hadi kauli zake sipendi hata kuzisikia. Hana jipya.
 
9354352, member: 351939"]Zitto Kabwe ni rahisi sana kununuliwa, upo uwezekano ameshapewa chake na wapiga dili ili kuichafua serikali yetu tukufu ili ionekane haifai mbele ya jamii. Zamani watu kama hawa walikuwa hawana nafasi katika jamii hivyo hatua za umeharaka zilikuwa zinachukuliwa kukabiliana naye.

Bora serikLi ya yahYa jameh ina tume huru sio ya dictator yohana uchwara[/QUOTE]
And ur false name tell that u must be a fool if not a complete moron
For ur infor i went to a best school and the university as well
What the hell is ngumbali?

Ha ha please do me a fovour write in a language you know and understand. What you have written here even a nursery school child would do better. The meaning of Ngumbalu is where people who did not manage to go to school at a younger age, can still have opportunity to pursue their education, Your language and your reasoning it expose your level of education.. And if you went to university then it must be uchwara university.
 
Jambo moja ni muhimu sana, Rais anapaswa kujua kuwa anafanya kazi kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Na Katiba imetoa wajibu wa lazima kwa Serikali kulinda watu. Ndio kazi ya Serikali – kulinda wananchi pale ambapo yanatokea majanga ambayo yanazidi kimo wananchi hao.

Tunamwambia Rais kwamba, Mtanzania yeyote akifa kwa njaa kwa sababu Serikali imeshindwa kutekeleza wajibu wake Watanzania tutapaswa kuchukua hatua, Katiba inatulazimisha kumtoa Rais madarakani ikiwa yeye na Serikali yake watashindwa kutimiza wajibu wake wa kulinda uhai wa raia wake.

Tunamkumbusha Rais kuwa yeye sio mungu mtu. Yupo chini ya Katiba na kwa idadi ya wabunge wa upinzani waliopo Bungeni, na wakiamua kusimama na wananchi na kulinda Katiba, Rais wa sasa atakuwa Rais wa kwanza wa nchi yetu kutolewa hoja ya kutokuwa na imani naye bungeni. Katiba inahitaji asilimia 20 tu ya wabunge kuwasilisha hoja hiyo bungeni.

Ninatoa wito kwa Watanzania wote nchini, bila kujali vyama vyao, kuweka rekodi ya hali ya chakula popote walipo na kuweka takwimu ya maafa yeyote yanayotokana na njaa. Mtanzania yeyote akifa kwa njaa ni lazima tuchukue jukumu la kumwajibisha Rais kwa kusema waziwazi kwamba hajatimiza wajibu wake kama Mkuu wa Serikali kulinda wananchi wake.

Tunamkumbusha Rais kwamba kwa mujibu wa ibara ya 46A ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambayo yeye amekula kiapo kuilinda, kuihifadhi na kuitetea, Bunge laweza kumshataki yeye Rais kwa kosa la mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais.

Wananchi wanaona lugha za ubabe, vitisho, kuonea watu, kudhihaki waliopatwa na majanga kwamba ni mambo yanayodhalilisha kiti cha Rais.

Hivyo Rais achague maneno ya kusema mbele ya wananchi wake, atumie lugha ya kujenga matumaini badala ya kujenga hofu kwenye jamii, aache kuonea watu kwa kutumia madaraka yake, na akumbuke cheo ni dhamana.

Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo
Kijichi - Dar es salaam
Januari 15, 2017

Ajenda za jikoni kutafuta "kiki"
Aliwahi kusema ana list ya vigogo wa serikali za awamu zote walioficha pesa Uswisi, pale mwembe yanga aliopenda kutangaza ilikuwa aibu tupu. Ndiyo maana Chadema walimtupa 'mtoni'
 
Bora serikLi ya yahYa jameh ina tume huru sio ya dictator yohana uchwara

Ha ha please do me a fovour write in a language you know and understand. What you have written here even a nursery school child would do better. The meaning of Ngumbalu is where people who did not manage to go to school at a younger age, can still have opportunity to pursue their education, Your language and your reasoning it expose your level of education.. And if you went to university then it must be uchwara university.[/QUOTE]

Now i understand why elders say never urge with a fool,they will drag you to their levels and beat you with experience
 
Bora serikLi ya yahYa jameh ina tume huru sio ya dictator yohana uchwara

Ha ha please do me a fovour write in a language you know and understand. What you have written here even a nursery school child would do better. The meaning of Ngumbalu is where people who did not manage to go to school at a younger age, can still have opportunity to pursue their education, Your language and your reasoning it expose your level of education.. And if you went to university then it must be uchwara university.[/QUOTE]
Now i understand why elders say never urge with a fool,they will drag you to their levels and beat you with experience
 
Ha ha please do me a fovour write in a language you know and understand. What you have written here even a nursery school child would do better. The meaning of Ngumbalu is where people who did not manage to go to school at a younger age, can still have opportunity to pursue their education, Your language and your reasoning it expose your level of education.. And if you went to university then it must be uchwara university.
Now i understand why elders say never urge with a fool,they will drag you to their levels and beat you with experience[/QUOTE]

Hicho kiingereza bora ukamuone ras simba
 
rubbish maana yake ni mbolea sijui ndio na ww unamaanisha hivyo! teh teh teh!
Vichungu eh, kunywa upone!

Id yako Inapendeza ukijiita Zero badala ya hero
Rubbish-takataka
Kumbe kwako taka ni mbolea
 
Kuna waliokufa kwa njaa miaka yote hii hawakuonekana kujaliwa? Jumlisha na wale walionyamazishwa kisailensa na dola yenyewe just because wamekuwa wakiisema vibaya serikali
 
Id yako Inapendeza ukijiita Zero badala ya hero
Rubbish-takataka
Kumbe kwako taka ni mbolea
Usije kuwa unajichambua mwenyewe ndugu, maana huwezi kujua takataka ni mbolea iitwayo mboji au samadi, huoni hilo Zero kwako ni mahala pake! teh teh teh! Kwa mtazamo ulionao 'u'll have a long 80 years instead of the normal 8 years under Magu', pole yako ndugu wee, sie tulisema tulija…selea selema…!
 
Jambo moja ni muhimu sana, Rais anapaswa kujua kuwa anafanya kazi kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Na Katiba imetoa wajibu wa lazima kwa Serikali kulinda watu. Ndio kazi ya Serikali – kulinda wananchi pale ambapo yanatokea majanga ambayo yanazidi kimo wananchi hao.

Tunamwambia Rais kwamba, Mtanzania yeyote akifa kwa njaa kwa sababu Serikali imeshindwa kutekeleza wajibu wake Watanzania tutapaswa kuchukua hatua, Katiba inatulazimisha kumtoa Rais madarakani ikiwa yeye na Serikali yake watashindwa kutimiza wajibu wake wa kulinda uhai wa raia wake.

Tunamkumbusha Rais kuwa yeye sio mungu mtu. Yupo chini ya Katiba na kwa idadi ya wabunge wa upinzani waliopo Bungeni, na wakiamua kusimama na wananchi na kulinda Katiba, Rais wa sasa atakuwa Rais wa kwanza wa nchi yetu kutolewa hoja ya kutokuwa na imani naye bungeni. Katiba inahitaji asilimia 20 tu ya wabunge kuwasilisha hoja hiyo bungeni.

Ninatoa wito kwa Watanzania wote nchini, bila kujali vyama vyao, kuweka rekodi ya hali ya chakula popote walipo na kuweka takwimu ya maafa yeyote yanayotokana na njaa. Mtanzania yeyote akifa kwa njaa ni lazima tuchukue jukumu la kumwajibisha Rais kwa kusema waziwazi kwamba hajatimiza wajibu wake kama Mkuu wa Serikali kulinda wananchi wake.

Tunamkumbusha Rais kwamba kwa mujibu wa ibara ya 46A ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambayo yeye amekula kiapo kuilinda, kuihifadhi na kuitetea, Bunge laweza kumshataki yeye Rais kwa kosa la mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais.

Wananchi wanaona lugha za ubabe, vitisho, kuonea watu, kudhihaki waliopatwa na majanga kwamba ni mambo yanayodhalilisha kiti cha Rais.

Hivyo Rais achague maneno ya kusema mbele ya wananchi wake, atumie lugha ya kujenga matumaini badala ya kujenga hofu kwenye jamii, aache kuonea watu kwa kutumia madaraka yake, na akumbuke cheo ni dhamana.

Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo
Kijichi - Dar es salaam
Januari 15, 2017
Zitto amekua sasa domokaya. katika kutafuta kiki amezidisha mbinu za ovyo hadi inakula kwake. watu sasa wanamzarau. kumtolea rais wa jamhuri makini kama jpm hoja ya kutokua na imani ni unafiki daraja la kwanza. sio ajabu kuona pamoja na juhudi kubwa aliyofanya kwenye kampeni uchaguzi wa marudio madiwani ACT haikupata hata kiti kimoja.
 
Back
Top Bottom