Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
kwanini iwe ni Zitto tu kuulizwa hili swali? viongozi wengine wa Chadema waliwezesha majimbo mengi kuchukuliwa huko waliko?
Kwani Chadema imechukua viti vingapi na NCCR, CCM vingapi vingapi?
Jamani najiuliza maswali sipati jibu.hivi umaarufu wa zitto kigoma,ameshindwa kuisaidia CHADEMA kunyakua majimbo zaidi?kwa nini imekuwa NCCR MAGEUZI kinara huko?ina maana Zitto hakufanya jitihada zozote??mnijuze wana JF!