J johnthebaptist JF-Expert Member May 27, 2014 83,968 141,980 Feb 7, 2022 Thread starter #41 Babati said: Maigizo tupu Click to expand... ACT wazalendo ndio chama kikuu cha upinzani!
libeva JF-Expert Member Mar 25, 2015 4,367 3,382 Feb 7, 2022 #42 Hilo baraza litakuwa linasemea wapi? Kwenye Mikutano ya hadhara au wanaita waandishi wa habari? Gharama zitakuwa juu ya nani?
Hilo baraza litakuwa linasemea wapi? Kwenye Mikutano ya hadhara au wanaita waandishi wa habari? Gharama zitakuwa juu ya nani?
greenwoods JF-Expert Member Sep 21, 2020 2,319 3,930 Feb 7, 2022 #43 Katoto kathenge hako kanajifanya kako ahead of time
R Rasterman JF-Expert Member Feb 24, 2015 33,905 44,017 Feb 11, 2022 #44 Retired said: Zito anakwenda kuwa Kichaa Click to expand... 🤣🤣🤣