Zitto Kabwe aunda Baraza kivuli la Mawaziri 24, Balile amuhoji kwanini hajaweka Idara ya Habari ambayo ndiyo muhimu?

Huyu sio mjinga atakuwa ametumwa kufanya hivyo ccm sasa hawahitaji katiba hata iliyopo hawaitaki wataanza kumpa pesa zito,nyanza kuyona uchaguzi wa 2025 utakavyo kuwa
 
Maigizo tupu
Chama cha ACT wazalendo kimeunda Baraza la mawaziri kivuli ambalo jukumu lake litakuwa kuisimamia na kuishauri serikali.

Zitto Kabwe amesema chama chake kimeamua kuziba ombwe lililosababishwa na kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani bungeni. Zitto amesema wameunda na cheo kinachofanana na Kiongozi wa Upinzani Bungeni ( KUB)

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deo Balile alishangaa kwanini katika Baraza hilo haonekani Waziri atakayeshughulikia maswala ya Habari? Amehoji idara ya habari iko wizara gani?

Source: ITV habari
 
Zito is a confused traitor!
Just because, he refused to bow down to Mbowe😀😀😀😀

KILA anayekosanaga na Mbowe huwa anapotea kwenye siasa.

Kwa Zitto mmegonga chuma kudadadeki.

Mtatumia miaka 100 kupambania na Zitto huku CCM wakila kuku kwa mrija.
 
Chama cha ACT wazalendo kimeunda Baraza la mawaziri kivuli ambalo jukumu lake litakuwa kuisimamia na kuishauri serikali.

Zitto Kabwe amesema chama chake kimeamua kuziba ombwe lililosababishwa na kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani bungeni. Zitto amesema wameunda na cheo kinachofanana na Kiongozi wa Upinzani Bungeni ( KUB)

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deo Balile alishangaa kwanini katika Baraza hilo haonekani Waziri atakayeshughulikia maswala ya Habari? Amehoji idara ya habari iko wizara gani?

Source: ITV habari
Aiseee 🤣🤣

IMG_20220128_174738.jpg
 
Kuunda serikali wakati kuna serikali halali iliyochaguliwa na wananchi huo ni uhaini.

Mamlaka zimchukulie hatua zito.
 
Chama cha ACT wazalendo kimeunda Baraza la mawaziri kivuli ambalo jukumu lake litakuwa kuisimamia na kuishauri serikali.

Zitto Kabwe amesema chama chake kimeamua kuziba ombwe lililosababishwa na kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani bungeni. Zitto amesema wameunda na cheo kinachofanana na Kiongozi wa Upinzani Bungeni ( KUB)

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deo Balile alishangaa kwanini katika Baraza hilo haonekani Waziri atakayeshughulikia maswala ya Habari? Amehoji idara ya habari iko wizara gani?

Source: ITV habari
Zotto umamluki umemzidi yeye ni kiongozi anayeyumba kama dela.
 
Just because, he refused to bow down to Mbowe

KILA anayekosanaga na Mbowe huwa anapotea kwenye siasa.

Kwa Zitto mmegonga chuma kudadadeki.

Mtatumia miaka 100 kupambania na Zitto huku CCM wakila kuku kwa mrija.
Nikufundishe, jifunze ku argue with supporting data. Zito alipata kura ngapi uchaguzi wa 2015 hata huo wa 2020 pamoja na kuwa ulikuwa Ni uchafuzi ( ondoa Zanzibar maana wao walikuwa wanampigia MaaalimSeif). And therefore, Zito hajawahi kushindana.
Pili Zito Ni CCM Sana na Mrema (TLP) , Chauma and their sister so called political parties
 
Back
Top Bottom