Hapa ndipo magwanda wanaifurahisha, nawaomba mpitie hii nyuzi halafu mfanye 1 + 1 = kisha mtiwe jibu:
https://www.jamiiforums.com/tanzani...-baada-ya-uchaguzi-wa-igunga.html#post2619282
hawana lolote jipya hawa cdm wako tu hoi yaani ni maiti inatembeahapa ndipo magwanda wanaifurahisha, nawaomba mpitie hii nyuzi halafu mfanye 1 + 1 = kisha mtiwe jibu:
https://www.jamiiforums.com/tanzani...-baada-ya-uchaguzi-wa-igunga.html#post2619282
Wewe uko CCM kwa ajili ya kufaidi?yaani huyu kijana anajipotezea dira yake kwa kukaa na wapotezaji CDM angekuwa ccm angefaidi zaidi ya hiyo red
Kwa sababu anatoka Kigoma? Hao wanafamilia wa Ndesamburo, Mbowe na Mtei wana nini kumzidi Zitto? Mbona hamkemei uhuni na upuuzi unaofanywa na wanasiasa uchwara kama Mbunge Lema?
Zitto wakomalie hawa wahuni, infact unastahili kuwa Chairman ili kuondoa ukabila, ukiritimba, uhuni na uoza mwingine kwenye CDM.
Ninaamini kuwa Zitto akiwa kiongozi mkuu wa CDM, Tz kama nchi itajivuania kuwa ina credible opposition party.
nimemaanisha angefaidi kipaji chake nisawa na mtu ni dokta ila unavua samaki zito ni winner kwanini akae side ya maloserwewe uko ccm kwa ajili ya kufaidi?
hakika u'r a slow thinker
hawana lolote jipya hawa cdm wako tu hoi yaani ni maiti inatembea
Nahic looser ni wewe unayesubiri kupewa ubunge wa viti maalumnimemaanisha angefaidi kipaji chake nisawa na mtu ni dokta ila unavua samaki zito ni winner kwanini akae side ya maloser
cdm walishakufa siku nyingi kwani wapo?tatizo wanafanya wanachohisi sio wanachofikiri.
Kifo chao kinakaribia.
Nahic looser ni wewe unayesubiri kupewa ubunge wa viti maalum[/QUOTE]
SUBIRI KUANDAMANA
Amepoteza mwelekeo si mwana mageuzi tena, anakula na maghamba's unabisha?????????
cdm walishakufa siku nyingi kwani wapo?
Hata mie ntamuunga mkono Zitto as Zitto ingawa sito kuwa mwanachama wa magwanda, never.
Kweli mkuu Director1 Huyu Bwn Zitto haeleweki,
Kwanza uchaguzi wa Igunga kabla ya kuongea na wenzake yeye aliwahi kupost matokeo na kuomba watu wakubaliane kushindwa!!!!!!!! Kabla hatujakaa sawa akasisitiza kuwa tukubali matokeo kirahisi tuu, kama vile haikumpa taabu kushindwa uchaguzi!!!!! Tunajua yeye na Bwn Kafumu wanafahamiana coz walikuwa wote kwenye tume ya madini, zimwi likujualo--------!!!!!!!!
Sasa huyu Bwn vipi yuko so deep with the maghamba caucus, what do we expect!!! Kuna hints kibao za kona za huyu Bwn!!!!!!!! Kama kuna lengo la kuchukua dola, CDM chukua uamuzi mgumu mambo kabla hayajaharibika!!!
hayo maandishi MEKUNDU ni kiashiria cha hatari. na viashiria hivyo ndio vinavyoicost CDM na ofcourse ndio kaburi la CDM. wenye akili zao ndani ya CDM wameshaanza kuchukua hatua ya kubadilisha mfumo ,mtazamo na hata mtindo wa chama katika kufikia malengo.Ila walikokosea ni hapa tuuuuuu:- HATUA WANAZOZICHUKUA WAO HIVI SASA, Zitto kabwe alishawaza na kutenda hivyo tangu kitambo na kila siku viongozi wenzake wanajikuta wameachwa hatua kadhaa na huyu kijana huyuKweli mkuu Director1 Huyu Bwn Zitto haeleweki,