Maswali ambayo hata auditor hajayajibu ama kwa makusudi au kwa kusahau,
Wizara hiyo ina watumishi wangapi waliokwenda Dodoma ambao wanatafutiwa mabilioni hayo ya fedha?
Je, si kweli kwamba watumishi waliokwenda Dodoma wote walishaomba fedha zao za kujikimu?
Ombi maalumu kwa mama Beatrice Shelukindo (mbunge)
Tafadhali tunakuomba uombe radhi kwa wabunge na watanzania uliotudanganya kuwa David Jairo aliwahonga wabunge wakati ni mpango mahsusi unaofanyika wakati wote wa kipindi cha kuandaa bajeti ya wizara ya madini na nishati ya umeme
usiopatikana lakini malipo yanafanyika bila wasiwasi wowote.
Bila kutuomba radhi utajiweka kwenye orodha ya wapambanaji mfu kikundi cha CCJ, wakiongozwa na kamanda wao mfu SS.
Bila kutuomba radhi utawekwa kwenye kundi la mavuvuzela wa chama cha majangili wa rasilimali za watanzania kama kule Ngorongoro, wale wanyama wetu.
NATANIA TUU MAMA WALA USIHANGAIKE WATANZANIA NDIVYO TULIVYO.
Zitto we Magandwa ya Magamba unayatakia nini?zitto katoa hoja ya bungeni taarifa ya CAG ipelekwe bungeni mara moja..wabunge wengi wameunga mkono hoja ya zitto, ndugai kaenda kwenye faragha maana hali ni tete amemomba simbachawene avae joho kwa mda mfupi
Luhanjo alisema ni kawadi mamlaka zilizo chini ya wizara fulani kuchangia fedha kwa ajili ya kufacilitate bajeti yao. Naona hapa alitaka kutuaminisha kuwa Jairo hana kosa.500millions zilizochangishwa zilitumikaje? Maofisa waliondaa bajeti na kwenda bungeni kuiwasilisha hawakuchukua imprest ktk idara zao?
Tatizo sio kumwadabisha Jairo,aliwaona komedi kwa sababu kila kilichotokea hakikuwa sahihi kwake,sasa afanye nini? hana hatia.Pinda alizungumza bila ushahidi wowote,alitumia maneno ya wanasiasa kumhukumu jairo.
Kama hana kosa hakuna maamuzi magumu Ya nini? kwa manufaa ya Nani?...CCM inabaki chama bora chenye misingi imara na kinachosimamia tararibu na kanuni.