Zitto Kabwe aomba Bunge lisimamishe shughuli zote juu ya Jairo!

utaona vita dhidi ya hawa wahuni ilivyo ngumu, yaani wakati tanzania tunalia hawa vichaa wanafurahia ujinga halafu keshokutwa ndio ya kwanza kulallamika maisha magumj, pumb..fu zao
ukiona watu wazima na akili zao wanafanya hivi kwa mwizi ujue kuna tatizo kubwa

 
We need to know much about our state! ....whithout state statements & judgements like the "jairo's case" when will we know that state has collective responsibility without embracing their comrades in arms!
 
Sasa bunge lilifilia uamuzi gani?? Wengind tuliikosa hiyo "senema"..more info plz,
 
Hatuna bunge, hatuna serikali wala hatuna mahakama. All these systems are very corrupted, ni asilimia kidogo sana tena naweza kusema wabunge wa upinzani ndo waliobaki na moyo wa kizalendo nao ni wachache siyo wote. Nafananisha hii system ya nchi yetu na Move moja inaitwa Conspirancy.
 
Credibility ya CAG is on the line.......
Sielewi ni kwa nini mpaka sasa hivi Mtoto wa Mkulima wa kutunga anasubiri nini kujiuzuru. Inaonekana hata yeye ana uchu wa madaraka. Anatakiwa na yeye kulinda credibility yake. Ana chaguo mbili tu, aidha kujiuzuru au kuliomba bunge msamaha kwa kuropoka maneno ambayo hakuwa nayo uhakika.
 
viongozi na serikali kwa ujumla imeshatufanya watanzania kama watoto,yaani leo inaamua hili nainatoa sababu na kua na machungu kama wazalendo kesho inakuja na lingine linalopingana na maamuzi ya awali na kutoa sababu tena.huu ni ujinga watanzania si watoto kiasi hicho tusielewe lipi jema lipi baya,tuhuma alizozitoa sherukindo ni kuwa katibu wa wizara ya nishati na madini kaandika barua kwa taasisi zilizo chini ya wizara yake zikusanye fedha zitakazo sababisha bajeti ya wizara na madini ipite na akatoa ushahidi wa barua ikiwa na sahihi ya jairo.leo anakuja katibu wa utumishi na CAG wanasema kiasi kilichokusanywa sio kilichotajwa na shelukindo(ila ni kweli kimekusanywa''rushwa'') toka lini kutoa rushwa ndogo chini ya iliyotarajiwa ikawa excuse ya kusema jairo hana hatia na kwamba waliomzushia wachukuliwe hatua,huku ni kutufanya sisi hatuna akili,nyambafu.

napongeza hatua za bunge za kuunda tume ya kulifuatilia hili maana huu mchezo wa kuuma na kupuliza au wa kusafishana umekua ni kero,lazima maamuzi ya bunge yaheshimiwe.
 
Hii nchi ni ya wasanii.
Viongozi wote ni wasanii
kiranja mkuu ni msanii
kiongozi wa sirikali gungeni msanii

video zao ukifutilia walahi waweza omba uhamisho ndani ya nchii
inayomilikiwa na ccm {chama cha mafisadi}.wanajiona wana hati miliki.
Shelukindo yuko sahihi kibaya ni kamgusa rafiki yake na kiranja wa watanzagiza.

Utawala ukithibitika ni mbovu, huondolewa na siyo wananchi kuihama nchi yao.
Kuna njia kuu mbili za kuondoa utawala ambazo ni halali;

1. Kupitia kupiga kura, ambayo ni njia ya kistaarabu zaidi kama utawala ni wa kistaarabu pia.

2. Kutumia nguvu au mapinduzi, hii njia ni halali kama ikifanikiwa lakini siyo ya kistaarabu na yapaswa kutumika pale inapobidi ikiwa wananchi wamekata tamaa hata kufikia uamuzi kama wako wa kuhama nchi.

Yawapasa wananchi wote ikiwa ni pamoja na wewe, kamwe wasiwaze kuihama nchi yao bali wajue kwamba wanaweza kutumia njia zilizotajwa hapo juu kama mbadala wa kuhama.
 
Pinda awaharibie tu. Yeye ndo kaishikilia serikali. Akijiuzulu kila wizara itaweweseka. Bado haoni tu?
 
Hii kitu inanipa homa kwa kweli, hasa ukiangalia wale jamaa pale wizarani walivyompokea kwa mbwembwe. Ngoja nikaangalie mechi ya UEFA leo ni Arsenal na Udinese
 
Makubwa, watu wazima wliojitolea kusuma gari la fisadi Jairo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hii kitu inanipa homa kwa kweli, hasa ukiangalia wale jamaa pale wizarani walivyompokea kwa mbwembwe. Ngoja nikaangalie mechi ya UEFA leo ni Arsenal na Udinese
 
Back
Top Bottom