Prezidah
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 750
- 182
Muda mfupi uliopita Mbunge kutoka Chadema Zitto Zuberi Kabwe emetoa taarifa ya kupata nafasi ya kuwa katibu mkuu kamati za mahesabu ya serikali kwa nchi kusini mwa Africa.
Ni jambo zuri na sifa kwa nchi yetu na chama chake cha Chadema.
acheni malumbano yasiyokuwa na msingi na kujaza server kuendelea kumlinganisha zzk na lema/mbowe/slaa maana kamwe hawataweza lingana kama huamini look at your fingers..... hongera sana zito