Zitto Kabwe ang'ara Kimataifa

Nakubaliana na AFROPAC kwa kugundua dhahabu ilichafuliwa na kinyesi na wao kuona inafaa hongera jembe liwakilishe taifa vizuri hata ungekuwa kwenye majivu mtu anayejua cha thamani atakiokota tu
 
ni nadra sana kiongozi afrika kutokuwa ally na westerners! Sio afrika tu hata Asia. Ndio ukweli mchungu huu tuubebe! Mbona wengine wameruka juzi juzi kutafuta support huko kwa hao wamaharibi! RockSpider
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa viongozi wengi wa kiafrica na hata baadhi ya viongozi wa Asia wanatumiwa na mataifa ya kimagharabi kwa maslahi ya watu wa magharibi!!! Haijakaa vizuri hata kidogo kuona jamii yetu inakilimbitwa mbele nyuma na wakati mwingi kuuawa ili kupisha ukwapuaji wa rasilimali ambazo Mwenyezi Mungu amewapa! Haingii akilini kuona wasomi wanaruhusu research za hatari kama hivi za kupandikiza mbu wa Dengue ...Haiingii akilini kuona Prof Mzima anatokwa na povu akisikia Watanzania wanataka mgao wa gesi! Haiingii akilini kuona kuwa NGOs zinachochea mpasuko wa kijamii na wakati mwingine wanatengeneza hata mabomu na kuwalipua raia wasiokuwa na hatia ktk kutekeleza TOR za magharibi ...Ifike mahala elimu zetu zitumike kuikwamua jamii yetu kutoka kwenye majanga na changamoto zinazowakabili na si kuwatumbukiza kwenye majanga na umasikini unaotamalaki kila kukicha ...
 
Sina uhakika km kichwa chako kina kitu ndani....maana unachuki binafsi,kumbuka kijna mwenzangu majungu na chuki haileti maendeleo
Wewe hujitambui wala ukiamshwa hauamkii...shauri yako endelea hivyohivyo labda wajukuu zako watakuja kukuambia

Kuna watu wanaposoma uzi huu roho zinawauma kutoka na chuki zao binafsi, hawapendi kuona binadam mwenzao anafanikiwa, wanajipuza kama vile hawaujui ukweli kuwa Zitto ni international level. Wanahangaika kumchafua lakini bado hachafuki na nyota inazidi kung'aa. Wengine leo wanashindwa hata kuchangia uzi huu kwasababu wameshiriki sana kumchafua Zitto, sasa wanaona haya kumpongeza kwa mafanikio anayo pata.

Tuwe na wivu wa maendeleo jamani ndo tutafanikiwa. Hongera sana ZITTO wewe ndio mfano wa kuigwa na vijana wote Tanzania na Afrika kwa ujumla.
 
Ni wajinga wachache wasioutambua mchango wa zitto kwenye nchi hii wengine wamekaririshwa na viongozi wanafiki ili kumchafulia jina lkn ni sawa kumpiga chura teke unamuongezea kasi ya safari yake hongera afirpoac na hongera zitto.
 
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa viongozi wengi wa kiafrica na hata baadhi ya viongozi wa Asia wanatumiwa na mataifa ya kimagharabi kwa maslahi ya watu wa magharibi!!! Haijakaa vizuri hata kidogo kuona jamii yetu inakilimbitwa mbele nyuma na wakati mwingi kuuawa ili kupisha ukwapuaji wa rasilimali ambazo Mwenyezi Mungu amewapa! Haingii akilini kuona wasomi wanaruhusu research za hatari kama hivi za kupandikiza mbu wa Dengue ...Haiingii akilini kuona Prof Mzima anatokwa na povu akisikia Watanzania wanataka mgao wa gesi! Haiingii akilini kuona kuwa NGOs zinachochea mpasuko wa kijamii na wakati mwingine wanatengeneza hata mabomu na kuwalipua raia wasiokuwa na hatia ktk kutekeleza TOR za magharibi ...Ifike mahala elimu zetu zitumike kuikwamua jamii yetu kutoka kwenye majanga na changamoto zinazowakabili na si kuwatumbukiza kwenye majanga na umasikini unaotamalaki kila kukicha ...

kaka nakuunga mkono 100%, hata mimi naumia sana ila ndio hivo yani kama hakuna jinsi, wale ambao wanamaslahi na uchungu hasa na mataifa yao hawa last long! either abadili misimamo yao iendane na wao au atolewe hata ukiangalia historia utagundua wengi huondolewa kwa hila mbali mbali au kuuawa kabisa. nadhani mifano mingine unayo kabisa... ndio hivo mabeberu wananguvu na wanatutawala na bado wanaendelea kufanya juhudi kuongeza nguvu na kututawala zaidi. sio kwamba hatuendelei, ila sio kama inavyotakiwa kuwa au tunavyostahili, ni 5% tu
 
Baada ya Malawi ilikua ni zamu ya Tanzania,,,

Mwenyekiti wa PAC kutoka Tz ndiye alipaswa kujaza nafasi hiyo bila kujali ni nani na an CV ipi,,,

Hata angelikua Lusinde ndiye mwenyekiti wa PAC kutoka TZ angelichukuliwa,,,
 
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa mabeberu wananguvu na wanabajeti ya kutekeleza mipango yao at any cost! but we can do better kama walivyofanikiwa Kouth korea! wao walichokifanya walikubaliana nao kwa kila kitu kisha wakaamua kuwekeza kwenye rasilimali watu (electronics engineers) ambao sasa wanatamba duniani na kampuni yao kubwa ya Samsung!!! sisi kwakuwa tuna rasilimali nyingi, ardhi nzuri, utulivu wa kisiasa na zaidi ya yote kijiographia tunawafanya wakimbilie kwetu basi ni vema tukawa na strategies za kuwanufaisha watu wetu! ...Mkuu kuna vitu vingine vya kijinga sana kama ambavyo prof Kapuya et al walikataa watumishi wetu wasilipwe mishahara minono kwa kisingizio eti wataacha kazi serikalini? anasahau kuwa serikali ingekusanya peyee kubwa zaidi hivyo kuhuisha mapato yetu!!! Grrrr...Duniani kote MNCs hulazimishwa kulipa kwa kufuata rate za malipo kampuni zilikotoka ama kiwangu chajuu! ndiyo maana ktk package nzima ya uwekezaji utakuta mkataba unahusisha kuzalisha ajira zenye tija zikiwemo marupurupu manono kwa wazawa! Hapa kwetu ni tofauti kabisa ... Itoshe kusema akina Meles Zenawi na viongozi wa aina yake waliouawa kazi zao zinaendelea kudumishwa na zitadum kwa miongo mingi ijayo! Puppets huwa mwisho wao ni mbaya maana hata fedha wanazowekewa uswis huwa hawazifaidi kwani takwimu zinaonyesha kuwa huwa wana freeze a/c zao.... Elimu nzuri ni ile yenye kutuwezesha kukabiliana na changamoto zetu zikiwemo mashinikizo ya MNCs siyo ya kuwakandamiza watu wetu ...
 
Mtu bora kama zitto hawezi kukubalika na watu vilaza kama mbowe.ubora wake unangara kila sehemu duniani.mbowe alifikiri kumngoa kwenye uwaziri kivuli ndio kumkomoa,bali kajidhalilisha mwenyewe.abaki na vilaza wenzake akina sugu.msigwa,lema
 
Toka nimeanza kumiskia Zitto sijamsikia akipanda jukwaani na kumpigia kampeni Mbunge mwenzake,sijui kwa kuingia ACT kama atabadilika.Maana tabia ya mtu huwa haibadiliki haraka.Tatizo lake yuko too selfish,otherwise akibadilika anaweza kuwa kiongozi mzuri zaidi.

acha uongo mkuu, ona aibu...last election aliwanadi wabunge 8 wenzake
 
Ndg yangu Huna kumbukumbu.mm nakumbuka mfano 2010 ni mgombea pekee wa ubunge aliyeweza kuacha kujipigia Kampeni na Kwenda kusaiidia wengine mfano musoma kwa Nyerere na sumbawanga.

Kaka Fanya kwanza utafiti
 
acha uongo mkuu, ona aibu...last election aliwanadi wabunge 8 wenzake

Mh!Sijamsikia,na kuna wenzake walikuwa wanamlaumu kutoenda kuwasaidia.Na tuhuma hizo hajawahi kuzikana.Na sijawahi muona wala kumsikia sasa unafiki wangu uko wapi? Sasa unataka nishuhudie uwongo.Kama umewahi kumsikia basi sema ujibu kuwa aliwahi kuwasaidia wabunge hawa,lakini si kutukana watu kuwaita wanafiki.
 
Ndg yangu Huna kumbukumbu.mm nakumbuka mfano 2010 ni mgombea pekee wa ubunge aliyeweza kuacha kujipigia Kampeni na Kwenda kusaiidia wengine mfano musoma kwa Nyerere na sumbawanga.

Kaka Fanya kwanza utafiti

Kama alifanya kwanini wenzake walimlaumu?
 
Baada ya Malawi ilikua ni zamu ya Tanzania,,,

Mwenyekiti wa PAC kutoka Tz ndiye alipaswa kujaza nafasi hiyo bila kujali ni nani na an CV ipi,,,

Hata angelikua Lusinde ndiye mwenyekiti wa PAC kutoka TZ angelichukuliwa,,,

still that is the stepping stone
 
Mh!Sijamsikia,na kuna wenzake walikuwa wanamlaumu kutoenda kuwasaidia.Na tuhuma hizo hajawahi kuzikana.Na sijawahi muona wala kumsikia sasa unafiki wangu uko wapi? Sasa unataka nishuhudie uwongo.Kama umewahi kumsikia basi sema ujibu kuwa aliwahi kuwasaidia wabunge hawa,lakini si kutukana watu kuwaita wanafiki.

kesho utasikia fulani anatembea na ..............halafu uta conclude hivyo
 
Back
Top Bottom