Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,381
- 24,979
Mkuu rangi unayotumia siyoMakinikia Vs Escrow
Mkuu rangi unayotumia siyoMakinikia Vs Escrow
Nimekusoma, unanigusa sana bro.kuna wahuni fulani toka chama fulani huko nyuma walijaribu Kuilazimisha Jamii ikubaliane nao kuwa Zitto amehongwa na Lowassa na timu yake ili kuvuruga chama chao. Lilipokuja suala la Escrow wakadai alihongwa na PAP, leo wafanye nini kukubaliana naye? lazima wampinge. ni kama ulivyosema huenda siasa zao wamejifunzia kwenye nyumba za ibada. maana kama bunge lilipasuka toka wale waliompigania PAP & co na waliopigania maslahi ya nchi, bado kuna mtu anasema zito haaminiki. kwanini basi usifanye home work angalau kuwajua hao unaowaamini ambao walimpigania singasinga ? je ni wabunge wa CCM pekee walionufaika na hela za IPTL? Ninakuelwela, maana wala pia sifahamu kwa mada hii Ramadhani Dau ameingiaje. ni chuki zile zileInawezekana chuki ina tafsiri nyingi, if that the case no problem.
Sikulaumi kutomuamini Zitto kwani hata yeye mara nyingi anasema "tusiwaamini wana siasa"
Lakini andiko lako halikuonyesha kutokumuamini ila kuonyesha kuwa Zitto anataka sifa na hata ukadiriki kumtaja Ramadhan Dau...sijui naye amekufanya nini?
Siasa za KUSHIKIWA mbaya sana.
Mmiliki siyo hoja. kumbuka kuwa kwenye maelezo yake, zitto anasema kuwa Mgamba alisumbuliwa mpaka na wakubwa wake. tujiulize iweje citizen waandike lakini mwananchi wamepotezea wakati ni kampuni moja na pia watanzania wengi wanasoma magazeti ya kiswahili? Heshima zote Mgambaukijua mmiliki wa gazeti utajua kwanini liko hivyo lilivyo
Rangi Imefanyeje Tena?Mkuu rangi unayotumia siyo
Nimekusoma, unanigusa sana bro.kuna wahuni fulani toka chama fulani huko nyuma walijaribu Kuilazimisha Jamii ikubaliane nao kuwa Zitto amehongwa na Lowassa na timu yake ili kuvuruga chama chao. Lilipokuja suala la Escrow wakadai alihongwa na PAP, leo wafanye nini kukubaliana naye? lazima wampinge. ni kama ulivyosema huenda siasa zao wamejifunzia kwenye nyumba za ibada. maana kama bunge lilipasuka toka wale waliompigania PAP & co na waliopigania maslahi ya nchi, bado kuna mtu anasema zito haaminiki. kwanini basi usifanye home work angalau kuwajua hao unaowaamini ambao walimpigania singasinga ? je ni wabunge wa CCM pekee walionufaika na hela za IPTL? Ninakuelwela, maana wala pia sifahamu kwa mada hii Ramadhani Dau ameingiaje. ni chuki zile zile