mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,208
- 1,109
Kwa wote wenye huruma na umaskini wa kusababishiwa na wajasiliamali wa kisiasa waliumizwa sana na inshu ya escrow..
Ilisisimua,ilitisha na kuwavua nguo za ndani wengi sana japo hekima ya ufisadi ilitumika kufunika kombe..
Pongezi kwenu nyote mliohusika katika kututoa matongotongo tulio wengi juu ya uharamia wa haki zetu na za walioporwa {SCB HK}.
Pamoja na mengine nilijifunza kuwa unapaswa kuwa na moyo mgumu kukubali maneno,porojo,ahadi,utetezi,hoja,..za wanasiasa..Nguvu ya Propaganda