Azimio la Bunge likipitishwa ina maana na Mawaziri Wote wamelipitisha. Tutegemee mabadiliko makubwa ya Kiuteuzi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,019
Ni Kwamba Mjadala wa Bunge la Taarifa za PAC, LAAC na PIC kuhusu Ripoti ya CAG ulihusisha Wabunge kama Wabunge na Siyo Wabunge na Serikali

Mawaziri walichangia kama Wabunge na Siyo kama Serikali

Maazimio yaliyopitishwa yamepitishwa na Bunge zima kwahiyo tusubiri utekelezaji kutoka serikalini

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
 
Tunasubiri danganya toto....watamdhibiti CAG asimuandame mama na serikali yake.....watamdhibiti mwakani atapunguza kuchokonoaa
 
Hata ukivunja Baraza nzima utamteua nani nje na hawa chawa? tatizo la nchi yetu ni mfumo mbovu maana Waziri anakuwa hajiamini anakuwa chawa wa aliyemteua badala ya kutumikia wananchi.
 
Hakuna cho chote,ni kutupiga sisi wananchi changa la macho! Bunge likiisha sijui kama kuna lolote litakalotokea! Tangu lini Majizi yakakamata majizi yaliyokula pamoja?
 
FiBzr7GXoAAslq1.jpg
 
Back
Top Bottom