Zitto Kabwe anena haya kuhusu ESCROW

Inawezekana chuki ina tafsiri nyingi, if that the case no problem.
Sikulaumi kutomuamini Zitto kwani hata yeye mara nyingi anasema "tusiwaamini wana siasa"
Lakini andiko lako halikuonyesha kutokumuamini ila kuonyesha kuwa Zitto anataka sifa na hata ukadiriki kumtaja Ramadhan Dau...sijui naye amekufanya nini?

Siasa za KUSHIKIWA mbaya sana.
Nimekusoma, unanigusa sana bro.kuna wahuni fulani toka chama fulani huko nyuma walijaribu Kuilazimisha Jamii ikubaliane nao kuwa Zitto amehongwa na Lowassa na timu yake ili kuvuruga chama chao. Lilipokuja suala la Escrow wakadai alihongwa na PAP, leo wafanye nini kukubaliana naye? lazima wampinge. ni kama ulivyosema huenda siasa zao wamejifunzia kwenye nyumba za ibada. maana kama bunge lilipasuka toka wale waliompigania PAP & co na waliopigania maslahi ya nchi, bado kuna mtu anasema zito haaminiki. kwanini basi usifanye home work angalau kuwajua hao unaowaamini ambao walimpigania singasinga ? je ni wabunge wa CCM pekee walionufaika na hela za IPTL? Ninakuelwela, maana wala pia sifahamu kwa mada hii Ramadhani Dau ameingiaje. ni chuki zile zile
 
ukijua mmiliki wa gazeti utajua kwanini liko hivyo lilivyo
Mmiliki siyo hoja. kumbuka kuwa kwenye maelezo yake, zitto anasema kuwa Mgamba alisumbuliwa mpaka na wakubwa wake. tujiulize iweje citizen waandike lakini mwananchi wamepotezea wakati ni kampuni moja na pia watanzania wengi wanasoma magazeti ya kiswahili? Heshima zote Mgamba
 
Asante sana Zito, kuna vitu huwa navipenda kwa zito, mosi akipinga anatoa na suruhu, pili pale serikali au taasisi ikifanya vyema anasifia, tatu kama kuna makosa ya kimfumo hutoa mwelekeo,CHANGAMOTO inayomkuta ni wakati fulani tunashindwa kuwelewa kama anapenda sana madaraka au anaamini bila yeye hakuna wa kutawala
 
huu uzi umenipa likes kibao kila dk naon notification bt nikiingia nakuta likes5 tu tena so za watu wa awali!

#JF @maxemelo likes zaid ya 5 ziko kwa verified member t?????
 
Hawa ndugu zetu shida sana.

Mtu kalishwa chakula kinachoitwa "ZITTO MSALITI, ZITTO AAMINIKI" anakwenda anatapika popote pale bila kuangalia anapotapikia kuna usafi kiasi gani!!

Back
Top Bottom