Zitto Kabwe anaishi sehemu gani Dar es salaam?

Zitto Kabwe anaishi sehemu gani Dar es salaam?

Status
Not open for further replies.
Google utampata, atakupa maelekezo, unajidharirisha we Mtoa post mwenyewe na unaichafua jamiiforum, wakuu ebu ondoeni hii kitu, hii ni sehemu ya great thinkers bwana si yakuchezea hovyo hovyo.
 
Anaishi mabwepande mkuu..weka no zako za simu hapo nikupigie nikupe maelekezo jinsi ya kufika au nenda pale ckocktower kuna jamaa ameshika bunduki amesimama ukimuuliza yuke atakupa maelekezo vizuri.

Hivi unapajua clock tower?
 
kwa mada hii tutapata majibu mengi ya wanawake walioachka humu.
majibu tofauti na swali
 
Ndugu kwa yoyote anayepafahamu anapoishi Zitto Kabwe kwa hapa Dar es salaam.?

Kwenye tovuti ya bunge kuna contact zao i.e Simu zote, email etc, anzia huko. Mambo yamerahisishwa sana huna haja ya kupoteza muda that much unless ulikuwa unatania na if that the case umeweka thread pasipo jukwaa husika!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom