Zitto Kabwe anaishi sehemu gani Dar es salaam?

Zitto Kabwe anaishi sehemu gani Dar es salaam?

Status
Not open for further replies.
Nilikua ninajua Zamani kua kuna baadhi ya watu lazima wanamroga huyu nyepesi lkn itakua ba yeye mwenyewe saiv kaishtuka hawa wachawi wake wanamsaka kwa udi na uvumba, utamuuliziaje mtu anapokaa kama wewe si mwanga

We muongo mpaka unashindwa kuelewa unaandika nn!
 
Wewe mwanaume unaulizia mwanaume mwenzio anakaa wapi..unatakaa nini na yye.acha tabia hizo....wata****
 
Mm nijuavyo anakaa vijiweni huko Tandale kwa tumbo,anashinda mitaa ya Yemeni na kulala Toronto city.
 
Anaishi mwenge jirani na hospital ya mama ngoma, kuna nyuma nyeupe ina gate jeusi, hapo ndo anapatikana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom