Duh,comments za watu wengine hapa ni noma.Taratibu wakuu!
On a serious note:Tusipokua makini tutatoka kwenye mijadala kuhusu tukio la Arusha,Mijadala ya Bungeni Kesho na masuala mengine
...ha ha ha haaa! hii kali.Nimeingia kusoma thread hii baada ya kuona last post ya Ben Saanane. Nitarudi baadae narudi kumalizia KINANA yangu ya baridi. NDOVUUUUUUUUUUUUU. Mhe. Msigwa upo?
Njoo Tabora mkuu tulime tumbaku na kulina asali.
Duh,comments za watu wengine hapa ni noma.Taratibu wakuu!
On a serious note:Tusipokua makini tutatoka kwenye mijadala kuhusu tukio la Arusha,Mijadala ya Bungeni Kesho na masuala mengine
ben@ramadhani ighondu@ulimbokaduh,comments za watu wengine hapa ni noma.taratibu wakuu!
On a serious note:tusipokua makini tutatoka kwenye mijadala kuhusu tukio la arusha,mijadala ya bungeni kesho na masuala mengine
Nimeingia kusoma thread hii baada ya kuona last post ya Ben Saanane. Nitarudi baadae narudi kumalizia KINANA yangu ya baridi. NDOVUUUUUUUUUUUUU. Mhe. Msigwa upo?
Kama hii ndio style ya Zitto ya ku-divert from current issues zinazohusu chama kwanini asionywe katika vikaoDuh,comments za watu wengine hapa ni noma.Taratibu wakuu!
On a serious note:Tusipokua makini tutatoka kwenye mijadala kuhusu tukio la Arusha,Mijadala ya Bungeni Kesho na masuala mengine
Hahahaha! Kwa hiyo mkuu jopo la wapiga ulabu limesha pitisha sasa kuwa NDOVU ndio mnaiita KI...?! Haahah watu wabaya nyie!
Turudi kwenye mjadala wa bajeti, ushuhuda ugaidi wa cc-harm na jinsi Prof Shivji alivyo ilarua rasimu.
Zitto leo ame tweet endapo ataacha siasa, ungependa kuona anafanya kazi gani?,
does he think of retirement from Politics?
Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe6h
Nikiacha siasa leo, ungependa kuona nafanya kazi gani?

Alianza vizuri siasa lakini atamaliza vibaya. He was too ambitious, kibaya zaidi sio msikivu maana yeye hujiona anajua kila kitu na pia alilewa sifa mapema
Kumkonvinsi mwanamke hata mwenye average IQ kuzaa na wewe km anafikiri hufai kuwa baba wa watoto wake km anavyofikiri...utaishia kuambiwa mimba zimetoka, mara dia bado hatujajipanga..ila tuendelee kula maisha tuu.
Jamaa anaweza kuwa na wanawake wote wanaomrusha roho mjini ili apate ridhikola roho kuwa ni mtu kubwa ila kuzalisha mmoja...mh.Wale viumbe hata wanyama wanachagua sana baba watoto wao.Labda akachukue utaalamu kwa wassira alisevu vipi.