Zitto Kabwe anafikiria kuacha siasa??!!

Zitto Kabwe anafikiria kuacha siasa??!!

Uko correct, uwezo wake upstairs ni mdogo sana, anafanya kazi ya ccm na ana fungu ktk fungu la pesa chafu za kuiua cdm
 
akiacha siasa agombee urais maana hatutaki rais mwanasiasa,akiweza kuwa rais asiye mwanasiasa itakuwa poa,vinginevyo arudie fani aliyoisomea
 
Hajaposa kwa JK kweli?

Hah hah...as long as anaweza mhakikishia mzee haendi the Hague kwa kichafua na kuivunja CDM.Unahitaji kuwa super hero kuachana na fikra za pembezoni(Njia za Vumbi)....muangalie mwigulu..hakuna cha kusafisha ushamba wake.
 
Mh sijui ni hasira..ila sidhani kama tumemsoma vizuri!!
 
Magazeti yaliandika andika statements zake ...kipindi hiki cha majonzi ya soweto.....lakini wapi?Nadhani nao wakaona wanapoteza bure front page zao kwa upuuzi.

Yupo fast sana....na watu fast design yake huwa maisha yao ni mafupi sana....life inakuwa too boring haraka sana.

Sasa aamue moja..kuvunja mikataba na kuzimu au akafungue biashara ya uganga Rasmi.....ni rahisi tuu kusingizia kuwa ni wa kurithi na ni wazee waliomwambia angekataa angekufa km wengine.Au aseme tuu ni uganga wa vitabu.
 
Ameona bora aushe uhai wake maisha gani kila siku anatafutwa kuuliwa na cdm.
 
Kumkonvinsi mwanamke hata mwenye average IQ kuzaa na wewe km anafikiri hufai kuwa baba wa watoto wake km anavyofikiri...utaishia kuambiwa mimba zimetoka, mara dia bado hatujajipanga..ila tuendelee kula maisha tuu.

Jamaa anaweza kuwa na wanawake wote wanaomrusha roho mjini ili apate ridhikola roho kuwa ni mtu kubwa ila kuzalisha mmoja...mh.Wale viumbe hata wanyama wanachagua sana baba watoto wao.Labda akachukue utaalamu kwa wassira alisevu vipi.

mmmmmhhhh!!!!
 
Ameona bora aushe uhai wake maisha gani kila siku anatafutwa kuuliwa na cdm.

Yeah...CDM wanaua kweli,hata mwakyembe,mwandosya ,chami naye alipewa kitu hiyo hiyo aliyopewa Zitto..Tatizo la CCM huwa wakifanya CDM kitu huwa hawachukulii hatua mtu .Ila sijui nae Zitto alitoka wapi chadema pekee ktk Meza ya CCM hadi akala walichopaswa kula hao magamba.
 
Nafsi inamsuta sana, anajistukia, tangu alipopigwa mkwara na Mtela kutoboa siri zao kawa mpole sana!! siyo eti sababu ni makini au ana busara na hekima nyingi hapana, anayo siri moyoni.

"Usijiachie sana katika mazungumzo yako, wakati mwingine neno huwezakuzaa yale usiyoyatarajia.
Karata yako ya mwisho inayo-determine maisha yakokama mwanachadema iko mikononi mwetu, Please brother, Don't mess with your lastpoker chip, u will lose the game. Kauli yangu Moja ya Ushuhuda inamaliza Uhai wakondani ya Chadema., I know you are smart brother, don't get crossed., straightenyour words..!
Kuwa makini, THIS IS SERIOUS…! "

Huyo ni kada Mtela Mwampamba kutoka chama cha majangili TZ akimuonya Zitto Kabwe hivi karibuni.

Nampenda ZZK lkn basi tu, sina amani naye.

Mwandiga kuna ardhi ya kutosha yenye rutuba!
 
tiririka Mary Mary!!!
 
Back
Top Bottom